k.shuku kibosho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 278
- 269
kama mwanamkehuyu kocha anavisa aisee ameshindwa kumpanga kwenye kikosi anaweka hao madogoo..
kama mwanamkehuyu kocha anavisa aisee ameshindwa kumpanga kwenye kikosi anaweka hao madogoo..
Hatuna uwezo wa kumsema Ozil vibaya wakati hatuna wa kulingana naye kwenye timu jamaa ni mchezaji wa kipekee sana akicheza tu utaiona ile Arsenal yenyewe imerudi.Wasiojua umuhimu wa fundi Ozil hawajui mpira




Hatuna uwezo wa kumsema Ozil vibaya wakati hatuna wa kulingana naye kwenye timu jamaa ni mchezaji wa kipekee sana akicheza tu utaiona ile Arsenal yenyewe imerudi.
Siku moja Joachim Low akiwa anahojiwa kuhusu Ozil aliwahi sema
"How can you win without Ozil"
Lakini Unai haoni kitu kabisaa kwa Ozil anaona kwa Nelson na Willock
Ni muujiza unaendelea Arsenal.
Huyu Tierney anapiga cross nzuri sana.
Huyu Unai utashangaa next match Xhaka anaanza nafasi ya Lt11. Yani tuna wachezaji wazuri sana. Hatuna kocha tu.Martinel mtu na nusu anatia header hatari
Anatumia akili kuliko hao waingereza kina nelsonMartinel mtu na nusu anatia header hatari
Huwa inaniuma sana aisee!! Hatutakiwa kupazoea huku kabisa.Europa league sio size yetu ila nashangaa kwa nini tupo hapa
wakati mpo msimu wa 2 mfululizoHuwa inaniuma sana aisee!! Hatutakiwa kupazoea huku kabisa.
Huku tuwaachie akina Leicester,Wolves,Man u na wengineo.

Sijui mnaompemnda AMN uwa mnapenda nini alichonacho ambacho mm sikioni



Huyu mi namuonaga kama yule Elneny tuliemuuza...yani mipira Yao haibadilikiHuyu Unai utashangaa next match Xhaka anaanza nafasi ya Lt11. Yani tuna wachezaji wazuri sana. Hatuna kocha tu.