Kapiga blocked shots mbili. Karuka kichwa akampush na Martnell moja.Aisee umeangalia wapi MPIRA,?
Kapiga shuti moja likawa blocked
Jingine wamembana asipite
Pass ametoa vzr tu labda uniletee takwimu hapa
Mzee unahisi wewe ndiyo mkweli peke yako humu au wewe una tv wengine tunaangalia nyota na mwezi? Acha mambo yakoHuu ni uongo mtakatifu
Sasa ndio kucheza vibaya huko?Kapiga blocked shots mbili. Karuka kichwa akampush na Martnell moja.
Magoli mangapi hayo?
Kaleta anao anao ndani ya box mara 2.
Blocked through ball ni mbili.
Yaani hizo ni ambazo naziona bila takwimu.
Ndio maana nimekuomba takwimu ili tuchambue vzr ,Mzee unahisi wewe ndiyo mkweli peke yako humu au wewe una tv wengine tunaangalia nyota na mwezi? Acha mambo yako
Yea nimewadanganya.Ndio maana nimekuomba takwimu ili tuchambue vzr ,
Maana hapo umeongopa kwa hayo uliyosema ,
Kwa dk alizocheza katoka na Rating 6.5
Bado pass accuracy ilikuwa nzuri
Huon kwamba unatudanganya live?
Nimekuomba takwimu za pepe kwa dk alizocheza huleti ila unasema amecheza vibaya sijui kakosa goliYea nimewadanganya.
Samahanini.
Pepe aliscore zile shots na kile kichwa aliscore. Anao anao ndani ya box imesababisha penati moja.
Samahanini.
Samahani nimekudanganya. Yaishe ndugu yangu.Nimekuomba takwimu za pepe kwa dk alizocheza huleti ila unasema amecheza vibaya sijui kakosa goli
Moja ya unayoizungumzia ni tukio ambalo alizuiwa asiingie ,na ilikuwa ni penalty
Ilikuwa dakika ya 69
Pepe had a chance to run at the Liege defence then with options either side, but it looked like he played for a penalty that the referee was not buying.
Duh hutaki tujenge hoja?Samahani nimekudanganya. Yaishe ndugu yangu.
Shida ni kwamba mimi naongea ambacho nimekiona wewe unataka takwimu yaani kama vile inatakiwa nitafute takwimu kuthibitisha kua jamaa kuna magoli amekosa wakati nimeshuhudia.Duh hutaki tujenge hoja?
Taratibu utamuelewa ,tatizo tuna taka afanye makubwa kwa haraka ,kumbuka hakuwa na preseason , halafu yeye mwenyewe pepe anasema Soon atakaa sawa maana amekutana na mazingira tofauti , ligi tofauti ,Shida ni kwamba mimi naongea ambacho nimekiona wewe unataka takwimu yaani kama vile inatakiwa nitafute takwimu kuthibitisha kua jamaa kuna magoli amekosa wakati nimeshuhudia.
Ni kweli tulistahili penati mbili ya Nelson na yake. Ni kweli jamaa overall kacheza vizuri.
Lakini je unatamani 75M icheze hivyo?
Ungewatia makofi kwanza kisha ukawaambia wajifunze kuwa na Subira.Hapa kibanda umiza,mashabiki wenzetu wa Arsenal,wamehamishia kelele zao kwa Pepe.Nikawauliza Guendouzi vipi?Siwasikii mkipiga kelele siku hizi,Imekuaje?Wakabaki wanajichekesha!!!!!!Tunatafuta mtu wa kumpa lawama,kila mechi.Tuwe wavumilivu kidogo
Hao ni.mamluki tuHapa kibanda umiza,mashabiki wenzetu wa Arsenal,wamehamishia kelele zao kwa Pepe.Nikawauliza Guendouzi vipi?Siwasikii mkipiga kelele siku hizi,Imekuaje?Wakabaki wanajichekesha!!!!!!Tunatafuta mtu wa kumpa lawama,kila mechi.Tuwe wavumilivu kidogo