Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| #AFC

Arsenal Starting XI vs Standard Liege: Martinez; Bellerin, Mustafi, Holding, Tierney; Torreira, Willock; Maitland-Niles, Ceballos, Nelson; Martinelli.

Seems to be Torreira at the base of the midfield
 
Sio siri emery anahtaj maombi mazito, kikos sio kbaya ila unamuachaje ozil ata benchi tu daah au ndo hana mpango naye tena
 
Bellerin ndio captain kama nilivyosema awali
IMG_20191003_210613.jpeg
 
Leo shoo itakua tamu pale kati ikismamiwa na lt11, AMN man by himself, wale mliokua mnamponda niles mtazamen leo kwenye comfort zone yake hope ata wa prove wrong
 
ozil ni luxury player.. anahitajika kucheza kwenye timu ambayo ina wachezaji wengi wenye uwez mkubwa wa kumiliki mpira.
 
kwa ufupi tu Pale Arsenal hamna kiungo mzuri, kiungo mchezeshaji kama Ozil,

Nanukuu maneno ya Wenger


"Ni ngumu sana kumpata mchezaji kama Ozil lkn ni rahisi sana sisi kuziba pengo la Sanchez"


Pengo la Sanchez halikuchukuwa muda Wenger akaingia sokoni akamleta Auba..
 
kwa ufupi tu Pale Arsenal hamna kiungo mzuri, kiungo mchezeshaji kama Ozil,

Nanukuu maneno ya Wenger


"Ni ngumu sana kumpata mchezaji kama Ozil lkn ni rahisi sana ss kuziba pengo la Sanchez"


Pengo la Sanchez halikuchukuwa muda Wenger kamleta Auba..

Wasiojua umuhimu wa fundi Ozil hawajui mpira
 
Back
Top Bottom