Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.Kwa hiyo mkuu pepe tumepigwa au???
Kocha hawez kumtumia , pepe ana kas sana ,Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.
Ngoja tumpe muda angalau hata huu msimu upite labda tutamuona Pepe wa £67m.
Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.
Ngoja tumpe muda angalau hata huu msimu upite labda tutamuona Pepe wa £67m.
Hii niliwaza jana wakati nacheki game ya leicester, kwanini Arsenal hawakumchukua Rogers wakati alikuwa kwenye mipango toka Mzee Wemger hajaondoka.??Brendan Rodgers anamzd amery mbali sana
Hakika hata mimi naona Arsenal alibebwa kabisa na ile ilikuwa ni offside ya wazi wala hata alikustahili kuwa goli, na hao VAR operators watakuwa wana makengeza wanashindwaje kuiona offiside ya wazi kama hii.Mechi hii Arsenal amebebwa kwa kiwango kikubwa sana , Refa alitaka Arsenal washinde ila walizidiwa.
nakaziaAuba ndo kashililia kbarua cha emery
Hakika hata mimi naona Arsenal alibebwa kabisa na ile ilikuwa ni offside ya wazi wala hata alikustahili kuwa goli, na hao VAR operators watakuwa wana makengeza wanashindwaje kuiona offiside ya wazi kama hii. View attachment 1220182

Saka ni zaidi ya PepeBukayo Saka vs. Man United:
48 touches
Completed 20/23 passes
19 duels, won 10
5 tackles (most for team)
4 dribbles
2 shots, 1 on target
2 chances created
1 assist
[@SkySportsStatto]. View attachment 1220190