Nottice hicho ndiyo kiungo ambacho mashabiki wanakitaka. Kimewekwa, kinafanya hayo.
Pepe hapana. Huyu siyo scorer, siyo mpiga cross mzuri. Guendouz as usual control na stamina hamna kitu. Nelson mjinga sana. Kakosa goli ambalo angescore kwa mguu wa kushoto na ameshindwa kupiga kros kwa mguu wa kulia now I wonder jamaa anatumia mguu gani?
Notice kwamba hakuna hata mtu aliyepiga shuti nje ya 18. Timu imecheza mpira mbovu mno, hakuna connection hata moja niliyoiona, ni kama vile kila mtu yupo kivyake.
Now simaanishi tulitakiwa kushinda kirahisi isipokua namaanisha ilitakiwa tuonyeshe tunajaribu kushinda. Anyway nilibet itakua suluhu so nimepunguza machungu kihivyo niliwekeana na mtu elfu mbili.