Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Saka kiukweli Pepe akilegea anaweza kushangaa dogo anamzidi katika kuscore na hata kutengeneza nafasi. Kama mambo bam bam wanaweza kubanana wote ile wing ya kulia.

Anyway kesho tunamhitaji Ceballos, Torreira na Guendouz pale kati (Naona Relief Mirszka akitabasamu) Ceballos na Torreira kwakua hua hawasiti kushoot nje ya 18 na De Gea siyo mzuri kwa mipira hiyo. Pia ni wakabaji wazuri, wana speed hivyo wataziba weakness ya Guendouz ambaye yeye ni mzuri kwenye duel na kusprint kwenda mbele.

Back na forward tunajua nani ni nini ila hapo kati paimarishwe. Tufanye 4 3 3 kama Martnell atakaa kati, wing ya kulia asimame pepe, ya kushoto asimame Auba.

Tusijisahau tho tukawaimba mashabiki wao maana Arsenal hua tupo hot ila hawa jamaa hata wakiwa kwenye plane mode wakikutana na sisi hua wanachangamka balaa.
Mkuu Saka kwa pepe bado sana

Pepe ni habari nyingine ile

Ni swala la muda ,tayari Auba kashamfungulia code

Hata lacazette alianza hivi hivi ilimchukua muda sana kuanza kutupia

Kesho njoo ushuhudie Wan bisaka anavyopata tabu kwa pepe

Saka namuelewa sana na Sishangai kupewa namba 7 maana anaonesha ana kipaji kuliko Nelson na Willock

Ila ni dhambi kumfananisha na Pepe,

Mpaka sasa nilichoona pepe Bado anakitafuta ni ile kulenga goli kwa usahihi ,

Maana kama kukokota mipira anakokota

Kutengeneza nafasi za kufunga anatengeneza

Pace

Speed

Anazo za kutosha

Ila akipiga kulenga goli anakuwa off target sana

Sasa hilo ndio wengi wanamuhukumu ,ni swala la muda

Narudia njoo kesho SAA 4:00 uone wan bisaka atakavyokuwa anapata taabu
 
Aiseeeehhh hebu tutulie wazee ,maana wote ni wamoja ingawa haya ni ya kawaida na yanatokea popote katika mkusanyiko wa watu ila kiukweli haipendezi......

Jamaa aliteleza kidogo kwa kauli yake lakini hilo halijawa sababu ya mahali hapa paonekane uwanja wa fujo,

Nawaomba wakuu AMANI ITAWALE MAHALI HAPA......

Turekebishane kwa njia nzuri na lugha zenye staha......

COYG...
Pamoja mzee
 
Tena nahisi Mustafi ndiyo atakua wa kwanza kutafutishwa timu. Ingawa hichi kifaa sijui kilikosea wapi.
Yaani hilo swali najiulizaga sipati jibu,Mustaphi alikuwa bonge la beki nashangaa ghafla sijui imekuwaje au sindano??????maana pale napo sipaelewi Gabriel hoi,Dino na Chambers ndio hao wanachechemea tu
 
Mkuu Saka kwa pepe bado sana

Pepe ni habari nyingine ile

Ni swala la muda ,tayari Auba kashamfungulia code

Hata lacazette alianza hivi hivi ilimchukua muda sana kuanza kutupia

Kesho njoo ushuhudie Wan bisaka anavyopata tabu kwa pepe

Saka namuelewa sana na Sishangai kupewa namba 7 maana anaonesha ana kipaji kuliko Nelson na Willock

Ila ni dhambi kumfananisha na Pepe,

Mpaka sasa nilichoona pepe Bado anakitafuta ni ile kulenga goli kwa usahihi ,

Maana kama kukokota mipira anakokota

Kutengeneza nafasi za kufunga anatengeneza

Pace

Speed

Anazo za kutosha

Ila akipiga kulenga goli anakuwa off target sana

Sasa hilo ndio wengi wanamuhukumu ,ni swala la muda

Narudia njoo kesho SAA 4:00 uone wan bisaka atakavyokuwa anapata taabu
Pepe vs Saka

Dah aiseh haya...tusubiri muda ni hakimu mzuri na hajawahi kosea ,
 
Ama kweli huo upepo mbaya

Hali si hali kwa watani wetu. Kocha anadai wachezaji wanamfanyia kusudi mpaka wakatolewa Carabao na wachezaji wanasema Pochetino anavizia upenyo wa kwenda Man U. Hapo hapo Spurs wanamuwinda kocha wa Uingereza, Southgate, aje kurithi mikoba ya Pochetino.

Arsenal hatuitamani ruti hii.
 
Pepe vs Saka

Dah aiseh haya...tusubiri muda ni hakimu mzuri na hajawahi kosea ,
Hahaha wazee mi nilisema endapo Pepe atalegea. Sijamaanisha kwamba Saka anafikia skill, pace, stamina na decision making ya Pepe. Ila hiyo ni kwa sasa, kufikia mwezi wa pili tutakua na maneno mengine.

Ila Saka, Willock na Nelson bora Saka.
 
Sentensi ya mwisho ya Auba kuhusu Frame work ina maana kubwa sana.

Aubameyang:

“I feel that we can change something in this club & we will try. Now it's time to win trophies. I'm sure we can do it and I am honestly happy to be here. I feel very good.”

Players can change the mentality, but Emery need to put a solid framework in place. #afc https://t.co/LJlGv6pY21
IMG_20190928_200123.jpeg
 
Hahaha wazee mi nilisema endapo Pepe atalegea. Sijamaanisha kwamba Saka anafikia skill, pace, stamina na decision making ya Pepe. Ila hiyo ni kwa sasa, kufikia mwezi wa pili tutakua na maneno mengine.

Ila Saka, Willock na Nelson bora Saka.
Mkuu pepe yule mech 5 mshaanza kumtabiria kulegea?

Pepe anahitaji muda zaidi, japo mm naona soon anauwasha moto

Tatizo kocha anashindwa kumuwekea mazingira mazuri ,awekewe midfielder za kusambaza mipira sana uone mabeki watakavyopata tabu
 
| #AFC

Leaked images of Arsenal’s 2020 pre-match shirt. A bold design, the Adidas pre-match jersey is purple and high-risk red. It will be used for the second half of the 19/20 season and be avaliable in stores from January 2020.
[@Footy_Headlines]

IMG_20190929_150856.jpeg
IMG_20190929_150854.jpeg
IMG_20190929_150851.jpeg
 
Petit

Arsenal have a very good opportunity to win at Old Trafford

This match is very important, and it’s a good time to be playing Man United.

There will be open spaces behind the United backline and with the speed of Arsenal’s forwards, they’ll get chances.

Go Arsenal Go
 
Tierney acheze amwage maji pale kati wakina Auba waogelee.
 
Arsenal would rather let him go out on loan and another club pay part of his wages rather than allow him to just sit on the bench or make the odd appearance.
 
Back
Top Bottom