Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil na mechi ya carabao hamalizi
Ozil hachezi kwa furaha kabisa mpaka kiwango chake kime drop

Kocha anazingua sana huyu

Tuna kocha wa Ajabu haijwahi kutokea
 
Beki zetu zinarudi uwanjani na Clean sheet. Hope watakuwa fit mechi ya Jumatatu
 
Mechi tumecheza poa.

Nelson na Willock walikosa magoli. Wamejirekebisha, wamescore.

Beki yetu siyo tamu sana. Kuna thru ball moja ilipigwa tatizo sttiker wa Nottin hakua makini.

Guendouz hayupo yet katikati tumetawala na mashambulizi yamepandishwa vizuri tu.

Nimefurahi kuona mabeki wetu wamerudi.

Napendekeza kikosi hichi hichi kicheze na Man U.
 
Mmmmhhh....labda kwenye backline lakini sio timu nzima aseeehhhh,tatizo hawa watoto legelege mno
 
For sure nmependa sana kiwango TK anapandisha timu kwa wakat na pia ana kross safi sana,Auba atashinda kila siku
Holding baba wewe kwl mwenye nyumba yan leo hadi Mustafi anaonekana mzuri your soo good enough kaka
LT11 bs tu Unai ana hira naww ila unajua zaid ya kukabaa baba welldone
 
Kiujumla timu imecheza vizuri, wachezaji waliotoka majeruhi Tierney, Berallin na Holding mechi hii itakua imewaongezea kujiamini.

Kuna mambo Unai ni lazima ayajue;
Nafasi ya Toreila ni DM, kumpanga Xhaka ni kujitafutia lawama zisizo na msingi.

Martinelli ni azina yetu inabidi apewe nafasi gemu za EPL ili kuongeza uzoefu na stamina.
 
Utashangaa Mech na Man u

Xhaka DM

Lt11 bench

Huyo ndio muhind Unai emery

Wahind na mpira wapi na wapi

Wahind kriket
 
Kiujumla timu imecheza vizuri, wachezaji waliotoka majeruhi Tierney, Berallin na Holding mechi hii itakua imewaongezea kujiamini.

Kuna mambo Unai ni lazima ayajue;
Nafasi ya Toreila ni DM, kumpanga Xhaka ni kujitafutia lawama zisizo na msingi.

Martinelli ni azina yetu inabidi apewe nafasi gemu za EPL ili kuongeza uzoefu na stamina.
Unamjua UNAI unamsikia?

Njoo uone vituko mech ya OT jumatatu ,

Sijui LT11,OZIL ,walimkosea nini
 
Back
Top Bottom