Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi na wewe tunajenga nyumba moja. Hatuna haja ya kugombea fito.

Wawe wanapress au hawapress watajua wenyewe as long as ninajua kua mpiga kros na faulo Young hamfikii Tierney. Striker wao ana misimu mitatu na nusu lakini kujifunza kutokana na makosa hawezi hivyo watajua wenyewe.

Am out.
Kikosi kikipangwa vzr ,hasa hawa mabeki waleo waanze kwa asilimia kubwa

Xhaka apumzike

Kati waanze gunduz lt11 cebalos

Mbele

Pepe auba ozil/saka/martinel hata Nelson sio mbaya

Bas sion Man u wakipata hata sare hapo hapo kwao

Ila otherwise tunaweza kupigwa hata 4-0
 
Arsenal’s next six fixtures:

Manchester United (A)
Standard Liege (H)
Bournemouth (H)
Sheffield United (A)
Vitoria (H)
Crystal Palace (H)

Kuna mech 4 za EPL

12 points clear kabisa

Ila chin ya Unai sitashangaa tukivuna point 4
 
11 bora yetu kwa sasa
Leno
Bellerin, chambers, holding, tierney
Torreira, gundeouz,cabelous
Pepe, lacca, auba
 
Chambers atakiwi kupigwa benchi tena mpaka kiwango kitakapo drop, martinel achukue namba ya nelson ikiwezekana j3 aanze kwenye front three iwe pepe, auba, martinel
 
Ni wakat sasa wa kumpa u boss holding achukue mikoba ya koscienly, rotation ibak kwa chambers, sokratis, mavropanous na saliba akirud, luiz apandishwe CM, the tank apandishwe awe LW
 
Chambers atakiwi kupigwa benchi tena mpaka kiwango kitakapo drop, martinel achukue namba ya nelson ikiwezekana j3 aanze kwenye front three iwe pepe, auba, martinel
Martnell na Auba naona namna yao ya kuscore inafanana. Ni kitu poa. Ila tunahitaji striker mwingine kariba ya Lacazette.
 
Nahisi timu yetu haiwezi kufanya counter attack.

Nimeshuhudia timu ikiwa na Auba na Laca, na Auba peke yake, na jana pia nimeona hicho kitu.

Yaani zile nafasi za striker kutoka mbio mpaka kufunga timu yetu haiwezi kabisa.

Tatizo ni falsafa ya kocha au watu tulionao?
 
Chambers atakiwi kupigwa benchi tena mpaka kiwango kitakapo drop, martinel achukue namba ya nelson ikiwezekana j3 aanze kwenye front three iwe pepe, auba, martinel
Chambers asipoanza mechi ya Man U nitamuona Emery boya sana...
 
Jamani nimemmis SANTIAGO CARZOLA jana alipiga kazi ya mana pale CAMP NOU.....
Amini kwamba jamaa anaingia katika vikosi vingi direct hapo EPL si arsenal,chelsea,liverpool,hao manchester united ndio mpaka ucaptain anapewa na mshahara wa 500k kwa wiki yaani hakuna wa kumuweka mbao ndefu......jamaa anajua haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
 
SANTI Anajua sana sana,muda wote unaejony kumtazama akiwa na mpira mguuni.
 
Chambers aache mawenge ajenge utulivu kama ROB HOLDING atafika mbali. Holding katulia sana. Ile namba hana mpinzani
 
Sura inazungumza.

Jana katengeneza Nafasi 6 nyingi zaidi kuliko nottigham Forest walizotengeneza.

Leo Ozil hata carabao hamalizi dkk.

Kanjibai Emery Mungu anakuona
IMG-20190925-WA0004.jpeg
 
Huyu Emery sio kocha
Nishaona wachezaji now wanacheza yakwao wamechoka ujinga wake

Wamechoka kuchomoa betri!

Emery on Calum Chambers' performance:

“Tonight I told him when he played at left back be calm here, help and support Bukayo [Saka], give the ball to Ceballos. He was overlapping lots of time. He did a very good pass for Nelson.

He didn’t listen to me!” #afc
 
Nahisi timu yetu haiwezi kufanya counter attack.

Nimeshuhudia timu ikiwa na Auba na Laca, na Auba peke yake, na jana pia nimeona hicho kitu.

Yaani zile nafasi za striker kutoka mbio mpaka kufunga timu yetu haiwezi kabisa.

Tatizo ni falsafa ya kocha au watu tulionao?
Watu wapo back line pamoja na middle wote wanajua kupga long ball, vibelenge wapo auba na pepe, nakfkr kikwazo n playing style yetu ya unao unao mpaka golin ata kujarbu nje ya box hamna wakat watu wa mizinga wapo, cabelous, xhaka. So n philosophy tu ya mwalimu
 
Chambers asipoanza mechi ya Man U nitamuona Emery boya sana...
Emery aaminki mzee, anaonaga kabsa kila akimuweka torreira timu inakuwa very solid kwenye defence lakn still bado anamsugua bench kila siku, sembuse chambers tumuombe tu Mungu
 
Gabriel Martinelli. 18 years of age. Blistering pace, unlimited stamina, immaculate close control, dazzling dribbling, clinical instinct, and a wavy name. I’m sorry to break it to you, but he is going to the very top. Arsenal could have a new club legend in the Brazilian.
IMG_20190925_120132.jpeg
 
Bukayo Saka 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Reiss Nelson 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Gabriel Martinelli
Kieran Tierney 󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
Joe Willock 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Lucas Torriera
Matteo Guendouzi
Emile Smith Rowe 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Hector Bellerin
Rob Holding 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Dani Ceballos
Nicolas Pepe

All aged 24 or younger

The Arsenal Golden Era is Here
 
Back
Top Bottom