Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiujumla timu imecheza vizuri, wachezaji waliotoka majeruhi Tierney, Berallin na Holding mechi hii itakua imewaongezea kujiamini.

Kuna mambo Unai ni lazima ayajue;
Nafasi ya Toreila ni DM, kumpanga Xhaka ni kujitafutia lawama zisizo na msingi.

Martinelli ni azina yetu inabidi apewe nafasi gemu za EPL ili kuongeza uzoefu na stamina.
Subiri experiment za Unai Jumatatu. Xhaka na Guendouz lazima wataanza, Lt11 atakaa bench mpaka dakika ya 75 halafu tutaanza kuwalaumu mabeki.
 
SIPO UPANDE WA HUYU NIPO UPANDE WA TIMU YANGU TU ARSENAL
IMG-20190925-WA0001.jpeg
 
KATIKATI AKAE TORREIRA NA CEBALLOS

HALAF 10 AMALIZE OZIL

JAPO KWA UNAI HATASAFIR NA OZIL KWENDA NAYE JIJI LA MANCHESTER
 
Unamjua UNAI unamsikia?

Njoo uone vituko mech ya OT jumatatu ,

Sijui LT11,OZIL ,walimkosea nini
Kikosi chetu ni kizuri japo kina mapungufu machache hasa sehemu ya CB na DM.
Ila kutokana na ujinga wa kocha tulienae anatufanya tuishi kwa unyonge.

Unai ni kocha wa average timu sio mshindani, haiwezekani msimu wa pili sasa usiwe na first 11, philosophy na combinations za wachezaji.
 
Hao Man U si maandaz kama sisi tu.
Man u wana press sana, KAMA muhind unai akiweka DM lake Xhaka , lolote linatokea,

Nafatilia sana mech za Man u , Tukiwawekea kule mbele

Gunduz lt11 ceballos ,ozil,pepe ,auba,

Wanakufa HALF TIME

ila kwakuwa UNAI ni mkurupukaji

DM xhaka , LW saka ,No10 Willock

CM gunduz ,

Tayari kashaweka Watoto walain wengi,

Man u watatupiga hata 4
 
Kikosi chetu ni kizuri japo kina mapungufu machache hasa sehemu ya CB na DM.
Ila kutokana na ujinga wa kocha tulienae anatufanya tuishi kwa unyonge.

Unai ni kocha wa average timu sio mshindani, haiwezekani msimu wa pili sasa usiwe na first 11, philosophy na combinations za wachezaji.
DM hakuna tatizo, ila yy analazimisha xhaka awe DM,

Tunahitaji LW Kama hatutaamua kuwatumia hawa watoto

Lkn klabu umeamua lisilete LW ili saka ,martinel, na Nelson wapate nafas

Kocha aliye makin,

Bado LW anaweza kumchezesha CEBALLOS , anaipiga ile namba vzr sana
 
Kieran Tierney best signing of the summer

Kolasinac Tafuta pa kutokea labda injury zimuharibu

Tierney Martinelli Torreira

Wachezaji walionfanya nikaangalie Game

Unai anachokifanya kwa ozil

Dhambibhii itamtafuna

Toa sokratis tia bobu shkodran

IMG_20190925_002908.jpeg
 
Dream night for Arsenal fans.

Win 4-0.

Youngsters Martinelli, Nelson and Willock score.

Holding scores on return.

Bellerin gets an assist.

Tierney shines on debut.

Tottenham get knocked out by Colchester.
 
Tierney is just different class. He will be so good for us. In this game alone he’s got more crosses right than Kolasinac has all season.
 
Man u wana press sana, KAMA muhind unai akiweka DM lake Xhaka , lolote linatokea,

Nafatilia sana mech za Man u , Tukiwawekea kule mbele

Gunduz lt11 ceballos ,ozil,pepe ,auba,

Wanakufa HALF TIME

ila kwakuwa UNAI ni mkurupukaji

DM xhaka , LW saka ,No10 Willock

CM gunduz ,

Tayari kashaweka Watoto walain wengi,

Man u watatupiga hata 4
Man U inapress? Hapana, siyo Man U hii.
Nikecheki games zao zote. Ya mwisho waliyopata goli lililofungwa na greenwood goli lilikua halina mipango na strikers wana apengo
 
Man U inapress? Hapana, siyo Man U hii.
Nikecheki games zao zote. Ya mwisho waliyopata goli lililofungwa na greenwood goli lilikua halina mipango na strikers wana apengo
Usiwe mbishi

List ya timu zinazopress Man u IPO ndan ya 5 bora

Wakati Emery anayejinasibu anafundisha pressing, Arsenal inashika nafas ya 19 kwa Ku press

Hivo DM ikilega itasababisha beki ipate kashikashi ya wale wapemba rashford na lingard,martial

Ila DM ikawa strong ,

Mpaka mpira unaisha forward za man u hutaziona
 
Gabriel Martinelli is the first Brazilian to score a brace for Arsenal since Julio Baptista against Spurs in January 2007. [@OptaJoe] #afc
IMG_20190925_001709.jpeg
 
Usiwe mbishi

List ya timu zinazopress Man u IPO ndan ya 5 bora

Wakati Emery anayejinasibu anafundisha pressing, Arsenal inashika nafas ya 19 kwa Ku press

Hivo DM ikilega itasababisha beki ipate kashikashi ya wale wapemba rashford na lingard,martial

Ila DM ikawa strong ,

Mpaka mpira unaisha forward za man u hutaziona
Mimi na wewe tunajenga nyumba moja. Hatuna haja ya kugombea fito.

Wawe wanapress au hawapress watajua wenyewe as long as ninajua kua mpiga kros na faulo Young hamfikii Tierney. Striker wao ana misimu mitatu na nusu lakini kujifunza kutokana na makosa hawezi hivyo watajua wenyewe.

Am out.
 
Back
Top Bottom