Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Auba anajua malengo ya timu. Anajua we want to take the team back to UEFA na ku-win either FA , league cup or EUROPA.Nina wasiwasi sana kama Auba atabaki kwenye hii timu yetu isiyo na malengo hasa tusiposajili vizuri January, kwa kiwango hicho cha kufunga Real Madrid, Barcelona watakuja tu maana teams hizo saizi zinasuasua
sasa why aondoke na malengo yatafikiwa??