Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Aisee hata Mimi ila tuna kocha game za away hajui kupanga na muogaMi huwa napenda game kama hii aanze Auba na Lacazzette game inaisha first half tu
Anamuweka Xhaka DM , mashabik wamezomea Leo xhaka anavyotoka