Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu unamchukia tu huyu. He is as it stand the engine of the team.

Hebu muangalieni bila kuwa na bias jamani. Tatizo xhaka
Hahaha mtu wangu wa Guendouz umekuja.

Nat ni kinabo wa control na stamina kila siku ndicho ninachosema. Hata mechi na Frankfurt aliprove hii.
 
Lt11 anatakiwa aanze kila game kama DM
Nane ampange guendouzi
Kumi ceballos
Auba kama kawaida 9
Nne na tano chambers na luiz
Aachane na sokratis na xhaka
Au xhaka ampeleke mbele nane
 
Wewe Acha kumtetea Unai kabisa

Anakomaa na Kombi ya Luiz na Sokratis inafanya errors kibao,Nje ana Chamber anacheza CB na LB vzr kabisa ,

Anamchezesha Xhaka DM anakabia macho ,wakati Klabu iliingia sokon kuleta DM lt11 ,

Anampiga bench ozil na LT11 Kwa mabifu yasiyo na maana
Wewe wapi umeskia kuna bifu la ozil na unai?? Bifu zikiwepo hazijifichi bhana.

Labda holding arudi lakini as long as ni chambers, I support him playing Luiz & papa.

Kuhusu xhaka vs lt11 hata mimi nakubali, nadhani he needs to drop xhaka now. Kuingia sokoni sio hoja, ni hoja ya ajabu kabisa, mbona city waliingia sokoni kwa mahrez na hachezi game zote???
 
Unai sijui ana mpendea nini Guendouz? Jamaa goigoi,kipindi cha pili upepo unakata ana kazi ya kukabia macho,mechi ya Watford alipoteza mipira miwili karibia na lango letu,basi tu Watford walikosa umakini tungefungwa siku ile.
 
Nina wasiwasi sana kama Auba atabaki kwenye hii timu yetu isiyo na malengo hasa tusiposajili vizuri January, kwa kiwango hicho cha kufunga Real Madrid, Barcelona watakuja tu maana teams hizo saizi zinasuasua
 
Lt11 anatakiwa aanze kila game kama DM
Nane ampange guendouzi
Kumi ceballos
Auba kama kawaida 9
Nne na tano chambers na luiz
Aachane na sokratis na xhaka
Au xhaka ampeleke mbele nane
Nakubaliana kwa asilimia nyingi na wewe broo.
 
Wewe wapi umeskia kuna bifu la ozil na unai?? Bifu zikiwepo hazijifichi bhana.

Labda holding arudi lakini as long as ni chambers, I support him playing Luiz & papa.

Kuhusu xhaka vs lt11 hata mimi nakubali, nadhani he needs to drop xhaka now. Kuingia sokoni sio hoja, ni hoja ya ajabu kabisa, mbona city waliingia sokoni kwa mahrez na hachezi game zote???

Mkuu angalia mpira kwa makini Beki yetu aliyepewa red bado sana kwenye kukaba hata goli la mwanzo cross ilitokea kwake anakaba kwa macho. Pia comb ya Luiz/Sokratis imefeli makosa kibao.

Lt11 mpambanaji sana anaachwa bench, Xhaka slow anaanza.
 
Back
Top Bottom