Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pigeni kelele, kutu nyie
Mkuu ni kweli tuna changamoto kiasi lakini amini nakwambia timu iko na tempo nzuri, goals are high and expectations will be met this year.

Tatizo tunadhani hii ligi mchezo.

Wewe unadhani Man city kufa kwa Norwich mzaha???
 
Mkuu unamchukia tu huyu. He is as it stand the engine of the team.

Hebu muangalieni bila kuwa na bias jamani. Tatizo xhaka
Wewe Acha kumtetea Unai kabisa

Anakomaa na Kombi ya Luiz na Sokratis inafanya errors kibao,Nje ana Chamber anacheza CB na LB vzr kabisa ,

Anamchezesha Xhaka DM anakabia macho ,wakati Klabu iliingia sokon kuleta DM lt11 ,

Anampiga bench ozil na LT11 Kwa mabifu yasiyo na maana
 
Back
Top Bottom