Arsenal (The Gunners) | Special Thread

G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
1-png.848157


Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com


1-jpg.848163

Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m


1-jpg.848363

Owners: Stan Kroenke na Alisher Usmanov

1-jpg.848173

Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick

1-jpg.848348

Head Coach: Unai Emery​


Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 13 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)


1-jpg.848415

Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2017)

Follow this thread for team updates!
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,489
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,489 2,000
Uzuri kwa maelezo yako , na uhakika huyu dogo umemjulia humu humu jf kwenye mijadala , kama kweli unafatilia soka usingekuwa unaaminisha watu Chelsea itamaliza ndan ya top 6 this season....hahahaha
Hahaa.. Uvivu wa kufikiri unakupeleka pabaya wewe. Niambie ni lini niliwaaminisha watu ivyo? Siyo wewe ndio unataka tuamini unacho amini wewe? Unataka mawazo yako yawe sawa kwa wengine. Unalegea katika kufikiri mkuu
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Hahaa.. Uvivu wa kufikiri unakupeleka pabaya wewe. Niambie ni lini niliwaaminisha watu ivyo? Siyo wewe ndio unataka tuamini unacho amini wewe? Unataka mawazo yako yawe sawa kwa wengine. Unalegea katika kufikiri mkuu
Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,

Mfano toka preseason nakuambia kuhusu team yako usitarajie makubwa msimu huu , lkn unanibishia ,subiri ndan ya mech 4 zijazo , nitarudi tena kukukumbusha.
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,489
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,489 2,000
uongo utakupeleka motoni kijana ?kinda kwa maana ipi?umri au kiuwezo?kma ni kiumri mo salah na gnabry nani aliyeondoka akiwa na umri mdogo?kama ni kiuwezo mo salah ametoka basel akiwa na uwezo mkubwa tu na alikuja chelsea sio kwa lengo la kuwa kikosi cha pili ila aingie kikosi cha kwanza ...ILA kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.
Yule Mou matako kabisa ndio alimtoa Salah. Tena kipindi kile ndio alikua manager so ana husika na kila mchezaji.
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
ARSENAL INJURY UPDATE:

Rob Holding: Back in full training with the first team squad

Hector Bellerin: On-field rehabilitation. Progressing well. Aiming to participate in full training in September.

Kieran Tierney: Aiming to participate in full training in September.

#afc
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,489
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,489 2,000
Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,

Mfano toka preseason nakuambia kuhusu team yako usitarajie makubwa msimu huu , lkn unanibishia ,subiri ndan ya mech 4 zijazo , nitarudi tena kukukumbusha.
Mimi mbina hata jukwaani kwangu nilishasema haya. Niliwataadharisha kitambo tu fan wenzangu kwa kuwaambia wasitegemee maajabu ikiwa hatujafanya usajili, tumebadilisha kocha, wachezaji baadhi ni majeruhi, pia tumepoteza mchezaji muhimu. Hayo niluyasema pengine labda hukufanikiwa kuiona post yangu. Mnapokuja kuchanganya nyie ni pale sisi tunaposifia progress ya timu ya yetu. Yan pamoja na hizo sababu nilizoainisha hapo bado kuna mwanga unauona yaan the way timu inacheza.

Najua kwa jinsi tunavyo cheza ndio kinachowaumiza kwa sababu hamkutegemea kuuona mpira ule tunaopiga. Sitaki kuongelea nafasi tutakayoishia kwa sababu hata msimu ulopita mlitabiri hatutakuwepo top 4 lakini mwisho wa siku mkaduwaa wenyewe.
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Mimi mbina hata jukwaani kwangu nilishasema haya. Niliwataadharisha kitambo tu fan wenzangu kwa kuwaambia wasitegemee maajabu ikiwa hatujafanya usajili, tumebadilisha kocha, wachezaji baadhi ni majeruhi, pia tumepoteza mchezaji muhimu. Hayo niluyasema pengine labda hukufanikiwa kuiona post yangu. Mnapokuja kuchanganya nyie ni pale sisi tunaposifia progress ya timu ya yetu. Yan pamoja na hizo sababu nilizoainisha hapo bado kuna mwanga unauona yaan the way timu inacheza.

Najua kwa jinsi tunavyo cheza ndio kinachowaumiza kwa sababu hamkutegemea kuuona mpira ule tunaopiga. Sitaki kuongelea nafasi tutakayoishia kwa sababu hata msimu ulopita mlitabiri hatutakuwepo top 4 lakini mwisho wa siku mkaduwaa wenyewe.
Haya ngoja tuone ,kuhusu kucheza mpira mzuri sijakataa ,hata mm napenda Mbinu za Lampard ,ila msimu huu mtapata taabu sana
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Bernd Leno:

‘You can’t compare Arsenal & Leverkusen. Arsenal is a world club, THE club here in London. Not Chelsea, not Tottenham. Arsenal is the club here with fans around the world. No matter where we are, also in the USA or in Asia, there are many fans of Arsenal everywhere’.
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Ni wakati sasa wa Hale end acardemy(Arsenal acardemy) kuleta product

Wenger alitumia £40m kuweka facilities kwenye hii acardemy

Anapoondoka alisema

Ameacha misingi thabiti , ameacha resource ambazo kocha anayekuja hatapata tabu

fb_img_1568126057683-jpeg.1204853
 
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
7,529
Points
2,000
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
7,529 2,000
Mikh timu ya taifa anavyo kiwasha utafkir sio yule wa arsenal. yote kwa yote huyu gnabry kila nikimuangalia roho inauma, tuliuzaje mashine hii
Huyo jamaa ni funzo kutosha on why we should handle Nelson, holding, willock, ESR, saka, with care
 
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
7,529
Points
2,000
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
7,529 2,000
Matteo humtaki mkuu!!!!,afu mi naona papa angewekwa pending kidogo tujaribu combo ya Chambers na Luiz.
Naona kama chambers ana hamu ya kuonesha uwezo this season.
Ataonyesha Europa, hii kujaribu jaribu ndio haifai. Weka full mziki
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
TEAM NEWS

Team news: Holding, Bellerin, Tierney

Arsenal Media 11 Sep 2019We return to Premier League action on Sunday when we travel to Vicarage Road to face Watford.

Here's our latest team news update:

All players who were on international duty will have returned to us by Thursday morning. No international players have reported injuries during this period.

However, all international players will be assessed ahead of Sunday’s match.

Rob Holding
Now back in full training with the first team squad.

Hector Bellerin
Left knee. Continuing with on-field rehabilitation. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Kieran Tierney
Groin. Continues to receive treatment and further assessments. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Dinos Mavropanos
Groin. Continues to receive treatment and further assessments. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Copyright 2019 The Arsenal Football Club plc. Permission to use quotations from this article is granted subject to appropriate credit being given to www.arsenal.com as the source.
 
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
1,145
Points
2,000
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
1,145 2,000
Namkubali sana tu
Ila emery ndio anazingua ,
Kwanini asipange Double pivot yaani aweke
Mateo-Lt11-ceballos au
Xhaka-lt11-ceballos
Ila Yeye anang'ang'ana na Xhaka acheze DM kisa hamtaki lt11 ,
Sidhina kama Unai Emery hamtaki Lucas Toreirra ilhali kamsajiri yeye.

Ninavyo tizama ni yeye kumshusha Granit Xhaka ilikusudi mwanae kipenzi Matteo Guendouzi acheze juu.
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Tuacheni ushabiki hapa arsenal ilivurunda kumuuza gnabry
Nadhan hulijui saga la gnabri kuuzwa , Wenger sio mjinga , hata Song aliuzwa hivi.hivi , Gnabry kapewa airtime ya kucheza tena EPL akiwa na umri mdogo , na akafanya vzr , sasa kafatilie why Wenger alimuuza,
 
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,854
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,854 2,000
Nadhan hulijui saga la gnabri kuuzwa , Wenger sio mjinga , hata Song aliuzwa hivi.hivi , Gnabry kapewa airtime ya kucheza tena EPL akiwa na umri mdogo , na akafanya vzr , sasa kafatilie why Wenger alimuuza,
Kwanini aliwauza mkuu
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Sidhina kama Unai Emery hamtaki Lucas Toreirra ilhali kamsajiri yeye.

Ninavyo tizama ni yeye kumshusha Granit Xhaka ilikusudi mwanae kipenzi Matteo Guendouzi acheze juu.
Ipo hivi , Baada ya Wenger kusepa , Ilionekana wazi wazi Tuna tatizo la DM , Na kipind hicho Wenger alimsajiri Xhaka kama namba 8 kutoka Monglenbach , na hata uswis anacheza namba 8 hadi kesho.

Uhaba wa namba 6 , ukapelekea Wenger amtumie xhaka kama DM , akasababisha makosa sana ,

Uongoz mpya chini ya Sven Mislitant au Diamond eye , ukasema dawa aletwe LT11 ,na kipindi hicho kombe la dunia linaanza , na alifanya vzr , kumbuka pia alikuwa kashafanya vzr akiwa sampdoria .

Emery yeye chaguo lake alikuwa Nzonzi , Bodi haikumleta ikamleta Torreira .

Sven pia alishauri waletwe Mateo Gunduz, Leno , Nicolaus Pepe, Dembele ,

Emery hamkutaka Lt11 , alimtaka Nzonzi kwa kigezo cha urefu ,emery hadi sasa anataka DM mrefu ,

Hiyo ilipelekea kutokea misuguano ,kama unakumbuka January emery akakomaa aletwe Denis Suarez ,diamond Eye aligoma kabisa , mwisho wa siku emery akafanikiwa kumleta Denis , Sven akasepa akaona hasikilizwi.

MATATIZO YANAANZIA HAPA

Emery anaendeleza makosa ya Wenger kumtumia Xhaka kama DM , Wakati klabu iliingia sokoni kuleta DM ,ili xhaka asicheze hiyo namba .

Emery amekuwa hamtumii LT11 Kama DM , Anamtumia kama box to box midfielder ,hasa kwenye 4-3-3 ,na Lt11 amekuwa akipotea au kushuka kiwango.

Kama unakumbuka Alippsajiriwa alipocheza kama DM ,alicheza karibu mech 5 ,huku mech 4 akiwa man of the match.

Kuanzia hapo Emery amekuwa anambadilishia majukumu kila siku ,au kumpiga bench kabisa .
 
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
11,760
Points
2,000
Aaron Arsenal

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
11,760 2,000
Kwanini aliwauza mkuu
Kama unavyomjua Wenger aliwapa sana nafasi makinda , na waliposhaini walipotaka kusepa hakuwahi kuwazuia ,

Rejea kwa Ox chamberlain alipoambiwa utacheza winger na sio attacking midfielder ,alipogoma Aliuzwa

Kuhusu Gnabry, Wenger alimpa sana nafasi tena akiwa na miaka 17 tu,

Na Wenger alijua vzr kipaji chake msikie hapa alisema

Serge Gnabry is a great hope for the future, I rate him highly,” Wenger said in September 2012, a year of signing him from Stuttgart for just £80,000. “He is in the category of [Alex] Oxlade-Chamberlain and [Theo] Walcott — guys who have great power, great pace and good dribbling skills."

Baada ya majeruhi alipopona ,akampeleka kwa mkopo West brom ,ambapo majeruhi yalimuandama sana,Msikilize Tony pulis hapa....

Gnabry did not fit in with then Baggies boss Tony Pulis, who did not believe the Arsenal youngster was ready to play in the Premier League.

"Serge has come here to play games but he just hasn't been at that level to play the games," Pulis said.Kule hakupata sana nafasi , aliporud Arsenal ,Wenger akataka kumpa sasa Mkataba mwingine ,Gnabry na wawakilishi wake wakakataa , Wenger angefanya NINI ? Akamuacha asepe

Soma hapa

He returned to the Emirates in the summer with his mind made up, he wanted to go. Arsenal didn't want to sell and offered the young forward a new contract to convince him to stay, but the offer was rejected.

Faced with a player who had made it clear that he did not want to remain in north London and with his contract running down, the difficult decision was taken to sell, with an offer from Werder Bremen accepted.

"It was the right decision [to leave Arsenal]," said Gnabry, soon after he had completed his move to the Weser Stadium in August 2016.


Kwahiyo WANAOSEMA ARSENAL ILIKOSEA KUMUUZA GNABRY ni kutokuelewa ilikuwaje.

Mchezaji hataki kusaini , na mkataba unaelekea ukingoni , Klabu ifanye nini zaid ya kupokea kifuta jasho.fb_img_1568124029748-jpeg.1204874
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,489
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,489 2,000
Haya ngoja tuone ,kuhusu kucheza mpira mzuri sijakataa ,hata mm napenda Mbinu za Lampard ,ila msimu huu mtapata taabu sana
No sweet without sweat. Mtakuja kupata tabu sana na Chelsea hii
 

Forum statistics

Threads 1,336,673
Members 512,696
Posts 32,547,374
Top