Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Arsenal DNA. @Joewillock keep the journey going
kheeeeeeee kheeeeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeee we jamaa unakuja kwa kubip hahahaha inabidi uje mazima kuwatimulia vumbi vigagula vinavyoshinda humu na maneno khangaWakuu wote wa Gunners kwa mpigo, nafahamu mambo sio mazuri sana lakini tupo bado na timu yetu. Hongereni kwa kupata kocha mpya lakini bado tunampima huyu sio deal at the moment ngoja tuone itakuwaje …. …… .. Tuone J2 salaam sana kwa wote …. ...… ….. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu umepotea sanaWakuu wote wa Gunners kwa mpigo, nafahamu mambo sio mazuri sana lakini tupo bado na timu yetu. Hongereni kwa kupata kocha mpya lakini bado tunampima huyu sio deal at the moment ngoja tuone itakuwaje …. …… .. Tuone J2 salaam sana kwa wote …. ...… ….. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mikh na Iwobi wote ni Surplus to Requirements, si wa kuwawaza kabisaDuuh! lacazette mechi ya MUN kuikosa tumewapunguzia mzigo, Hapo tunaanza kummiss IWOBI na MIKH upande wa pembeni huku.
AUBA naye akipata injury tumeisha maana hata Eddy katolewa Loan, Hapo ndio utagundua PEP huwa hapendi kutoa mchezaji loan kizembe.