Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Droo sio mbaya , hasa kwa ninayepambana nae nafas za juu,msala kutoa droo na kina NorwichNaona hajatoka mtu hapo hahahahaha
Droo sio mbaya , hasa kwa ninayepambana nae nafas za juu,msala kutoa droo na kina NorwichNaona hajatoka mtu hapo hahahahaha
Hamna uwezo huo ,tena sasa hivi tuna project ya kujenga timu,Pengine hii ndio itakua mara ya kwanza kirahisi.
Hili ndio tatizo lenu kubwa nyie. Akili zenu ni za muda mfupi kama maisha ya funza. Mnakumbuka Lingard alishawahi kufananishwa na Rooney huku mki edit picha zake mkimuwekea na tuzo ya Ballon d'or siyo nyie? Yako wapi sasa hivi
Acha muda useme wenyewe.
Hasira za nini sasa unataka kumwaga damu hapa? Subiri muda ufike uje kunihukumu mimi kwa nilichosema. |
Hamna uwezo huo ,tena sasa hivi tuna project ya kujenga timu,
Mnaanzaje ?
Hahahhaha ndio mje kubomoa kwetu,?lini mlikuja ? Ni ngumu sana labda zitokee hali kama za kipind kile Ashley Cole , William galas au luiz . Hivi hivi sio rahis, ndio maana huji kusikia Chelsea kabid kwa arsenalKuna watu wana project ya kubomoa. Kuwa makini kati ya hao unawaita wenye project ya ujengaji.
Hasira za nini sasa unataka kumwaga damu hapa?
Subiri muda ufike uje kunihukumu mimi kwa nilichosema.
Pepe namfuatilia toka alipowasumbuaga PSG nilisikitika sana hatukupata nafasi ya kumsajili dirisha dogo wakitegemea asajiliwe dirisha kubwa.Hahahhaha ndio mje kubomoa kwetu,?lini mlikuja ? Ni ngumu sana labda zitokee hali kama za kipind kile Ashley Cole , William galas au luiz . Hivi hivi sio rahis, ndio maana huji kusikia Chelsea kabid kwa arsenal
Mkuu mbona kama unatutamani kiaina?, hii timu bado combinations hazijakaa vizuri na full beki zetu hazijarudi. The future is exciting, Wapinzani kazi mnayo.Watani naona mnachekelea draw hahaha.
Sisi tulimpiga bingwa wa Ulaya Chelsea 4.
Hahahahaha. Anyway kiungo naona kimeiva sasa na ile French connections pale mbele inashirikiana vizuri na Aubamagoli.
Hongereni kwa draw lakini ila mkae mkijua sisi tuna kiberenge kinaitwa DJ 21 sijui mtamkabaje asee.
Subilien kwenda champipnship
Mkuu mbona kama unatutamani kiaina?, hii timu bado combinations hazijakaa vizuri na full beki zetu hazijarudi. The future is exciting, Wapinzani kazi mnayo.
Wewe shabiki wa Chelsea unapata wapi ujasiri wa kuja kuongea humu,wakati Sheffield tu hauwawezi.Huko ni saizi yako Aroon na Arsenali
Mikhi amekua mjinga mjinga siku hizi naona benchi limemfanya awe butu.Lacazeti n shida aisee asingeumia nahc tungetoka kifua mbele na mkubali sana jamaa, ila mikhi cku hz ndo ata simuelew, hiv hakuna namna ya kumrudisha iwobi tu wape mikh
Haya endelea kujidanganyaSiku zote hatutakagi magarasa ndio maana hakuna bid yoyote. Ila hapo kwa Pepe ni project nzuri sana. Huyo dogo anatufaa sana katika kuimarisha ushambuliaji wetu. Pepe namfuatilia toka alipowasumbuaga PSG nilisikitika sana hatukupata nafasi ya kumsajili dirisha dogo wakitegemea asajiliwe dirisha kubwa.
Hahaaaaa mkuu ,sasa hivi mnalingia djWatani naona mnachekelea draw hahaha.
Sisi tulimpiga bingwa wa Ulaya Chelsea 4.
Hahahahaha. Anyway kiungo naona kimeiva sasa na ile French connections pale mbele inashirikiana vizuri na Aubamagoli.
Hongereni kwa draw lakini ila mkae mkijua sisi tuna kiberenge kinaitwa DJ 21 sijui mtamkabaje asee.
Good battling from the team. Ningefurah zaidi kama tungeshinda ila pointi moja si haba haswa kwa kuwa timu tuliyocheza nayo si ya kitoto na tayari tulishapigwa mbili. Guendouzzi, what a talent. The kid has got massive potential.