Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Happy birthday to Ainsley Maitland-Niles, who turns 22 today. He plays for the Arsenal since he was 6. @Ains_7
Kumbe hata ukumbuki ..tuliposhia nafasi ya kumi tulichezaje Europa mkuu? Au Europa zinaenda hadi timu zilizoshika nafasi ya kumi. Msimu wa kwanza wa Conte hatukucheza Europa mzemsimu wa pili tuliishia nafasi ya tano na tukabeba FA wakati wewe ulivyooshwa tatu fainali na Madirid
. Conte akasepa akaja Sarri akabeba Europa.
Aha kujifanya uelewi.

Imenibidi na mimi nishangae kwamba ni ile mechi anaongelea au ni ipi ambayo Pepe alimpeleka 'mbaya' VVD.Kuvinja rekodi haimaanishi kampelekesha boss sema ilitokea occasion moja akawa amempita na ndio hio hio akaweka record..hakuna mda mwingine wowote alimpita wala kumsumbua
Mbona hata game ya man cty na liver ya community shield jesus alimpita kwani ndo maana yake alimpelekesha?
Sema tu pepe alikua na game nzuri kama maforward kibao tu wakicheza game na liverpool lakini haimaanishi wamempelekesha.
Ahead of tonight's #CarabaoCup draw...
Naomba tupewe Chelsea itapendeza zaidi
Huo ndo mwaka tumebeba UEFA na FA. Naukumbuka vzuri. Arsenal hata Carabao inakushinda?Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
Chelsea ni timu iliyoanzishwa 2005 , lakini sasa hivi inarudi ilipotoka , sio muda itakuwa timu ya middle table.