Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tofauti na msimu mwa mwisho wa Mourinho na wa mwisho wa Conte sikumbuki tena ni lini Chelsea imemaliza nje ya top four. Kuanzia msimu 2002/2003 tukiwa na Raniel ndo nimeshabikia mpira na kaunza kuufatilia zaidi. Sijui unataka nn hasa
Hivi vituko vyengine yani!
Ni Mara 2 tu??? Umeanza kuipenda mwaka gani?
Na Mara zote 2 ( let's say 2016/17 na 2018/19) mulibeba zote kweli?
Kwahiyo baada ya kumaliza nafasi ya 10 mulibeba Europa 2017 au?

Nina wasiwasi Chelsea huijui au umeanza kuipenda 2019.
 
There is a feeling among those at Arsenal’s training ground London Colney that Kieran Tierney could return from injury ahead of schedule. [@Football_LDN]
 
| #AFC

"This is only the beginning: Sanllehi already has plans for the January and next-summer windows." [@LaurensJulien]

Who might it be, that comes to Arsenal? Let us know your thoughts.
IMG_20190828_220925.jpeg
 
Pepe on his partnership with Laca/Auba:

"We can find each other quickly, based on how its been with Laca. We can find each other with our eyes shut." #afc
 
Juventus and AC Milan monitoring Arsenal youngster Sam Greenwood after 17-year-old forward impressed scouts at European U17 championships this summer .
 
| #AFC

Martin Atkinson will be the referee for our game against Tottenham this Sunday.

Assistants - Lee Betts, Constantine Hatzidakis.
Fourth official - Andre Marriner
VAR - Paul Tierney
VAR Assistant - Stephen Child .
IMG_20190828_221932.jpeg
 
| #AFC

"Sanllehi is a very intelligent man. His social skills, his charisma, his ability to be liked by people wherever they come from or whatever their background or role is are amazing

"He has the gift of the gab" one influential French agent said [@LaurensJulien for ESPN]
IMG_20190828_222436.jpeg
 
Hivi vituko vyengine yani!
Ni Mara 2 tu??? Umeanza kuipenda mwaka gani?
Na Mara zote 2 ( let's say 2016/17 na 2018/19) mulibeba zote kweli?
Kwahiyo baada ya kumaliza nafasi ya 10 mulibeba Europa 2017 au?

Nina wasiwasi Chelsea huijui au umeanza kuipenda 2019.
Wakati tunamaliza nafasi ya kumi tulikuwa tupo uefa wewe ..labda uzungumzie msimu uliofuta ambao tulibeba ligi ..hiyo ata Europa hatukuwepo na tungekuwepo tungebeba. Acha kujitoa ufahamu jamaa Yuko sahihi ..tumeshiriki Europa Mara mbili na tumebeba zote... wewe umeshiriki zaidi ya Mara tatu/nne uko ukaishia kupigwa fainali bao 4-1.
 
| #AFC

Arsenal are among other clubs such as Bayern, Monaco and Spurs that are interested in 22 year-old winger Cengiz Ünder. [Il Messaggero]

 
Lacazette-Pepe going to be striking a really nice relation on the pitch. Going to suck in defenders and beat them with some quality combination play. Aubameyang going to be the real beneficiary of this all, will position himself perfectly in the box to poach.
 
Tofauti na msimu mwa mwisho wa Mourinho na wa mwisho wa Conte sikumbuki tena ni lini Chelsea imemaliza nje ya top four. Kuanzia msimu 2002/2003 tukiwa na Raniel ndo nimeshabikia mpira na kaunza kuufatilia zaidi. Sijui unataka nn hasa
Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
 
Guys uni is stupid lad. The last 5 matches last season, he played elneny and guandoz at the Mid field and led us miss top 4. This time, he played ceballos out of position, laca and torreira were not available. Clopp pia alishangaa alipoona kikosi cha arsenal alipohojiwa. Kuna analyst mmoja anasema uni ndio ameisaidia liverpool kushinda ile mechi kirahisi vile.
 
Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
ABV alifukuzwa katikati ya msimu wewe ..timu akapewa De Matteo ..moja kwa moja akafika fainali uefa na kubeba ..wewe uliyemaliza juu yetu ulibeba nini? uyo Nu Casto alibeba nini?

Sisi ndio viranja wa London bwana bila sisi Chelsea London itapoteza mvuto kabisa.

Kila la kheri Chelsea
 
Arsenal drawn at home to Nottingham Forest in the Carabao Cup. Carl Jenkinson just can’t keep away from the place.
 
MISIMU YA KARIBUNI MULIYOCHEZA UROPA

1) 2012/13 (Mulibeba)
2) 2016/17 (Hamukubeba)
3) 2018/19 (Mulibeba)

Lakini nyinyi mumezoea kujitungia historia za uongo! Eti mumeshiriki Mara 2 na zote mumebeba!!
Chelsea ni timu iliyoanzishwa 2005 , lakini sasa hivi inarudi ilipotoka , sio muda itakuwa timu ya middle table.
 
MISIMU YA KARIBUNI MULIYOCHEZA UROPA

1) 2012/13 (Mulibeba)
2) 2016/17 (Hamukubeba)
3) 2018/19 (Mulibeba)

Lakini nyinyi mumezoea kujitungia historia za uongo! Eti mumeshiriki Mara 2 na zote mumebeba!!
Kumbe hata ukumbuki ..tuliposhia nafasi ya kumi tulichezaje Europa mkuu? Au Europa zinaenda hadi timu zilizoshika nafasi ya kumi. Msimu wa kwanza wa Conte hatukucheza Europa mze msimu wa pili tuliishia nafasi ya tano na tukabeba FA wakati wewe ulivyooshwa tatu fainali na Madirid . Conte akasepa akaja Sarri akabeba Europa.

Aha kujifanya uelewi.
 
Sikia nikuelekeze,amevunja record ya kumpita Van dijk kwenye league baada ya games hamsini..hio ni moment moja tu kwenye game ambayo haichukui hata dakka moja..kwa kifupi ni kua katika mara zote alizojaribu ni mara moja tu alifanikiwa na hata hivyo Van dijk bado alimkimbiza kwenda kuchukua tena mpira..nnachojqrib kukueleza ni kua kumpita Van dijk haimaanishi kua kwenye hio game umemsumbua ndio maana nikampa mfano wa Gabriel jesus pia alimpita kwenye game ya liver na city community shield,leroy sane alimpita kwenye UEFA nations league walipocheza against Germany...
Lakini KWENYE LIGI ndio alikua hajapitwa kwa muda mrefu ila kwenye competitions hizo mbili nilizokutajia wapo wachezaji walifanikiwa.

Lengo ni kukwambia kua kumpita Van dijk mara moja kwenye mechi yenye dakika 90 haimaanishi kua umemsumbua ila tu ulifanikowa kufanya kitu ambacho kwa dakika hizo 90 umejaribu sana.

Lionel Messi alimsumbua Van dijk kwenye game ya Camp nou lakini hakunpita hata mara moja lakini ALIMSUMBUA sana katika game ambazo Van dijk alipata shida ni ile lakini pia Messi hakufanikiwa kumpita.

Nnachomqanisha ni kua kudrible past him haimaanishi umemsumbua ila umefanikiwa tu kufanya kitu ambacho unajaribu na kufail mara nyingi.

Waliompita nimekutajia naamini ulikua hujui ndio maana unasema naongea nini..uwe unatofautisha kati ya all competitions na only league.
Hao wachezaji kwenye hizo game pia hawakumsumbua maana kwanza walicheza kawaida sana kwa hio jua kua kumpita haimaanishi umesumbua sana
aisehhhhhh we jamaa hebu kubali yaishe tu maana sidhani hata mpira wenyewe ulikuwa unaangalia au umesimuliwa maskani,haya basi mshindi ni wewe
 
Back
Top Bottom