Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Huyo jamaa huwa hawezi kureason kabisa. Angalau umemsaidia
Kumbe hata ukumbuki ..tuliposhia nafasi ya kumi tulichezaje Europa mkuu? Au Europa zinaenda hadi timu zilizoshika nafasi ya kumi. Msimu wa kwanza wa Conte hatukucheza Europa mzemsimu wa pili tuliishia nafasi ya tano na tukabeba FA wakati wewe ulivyooshwa tatu fainali na Madirid
. Conte akasepa akaja Sarri akabeba Europa.
Aha kujifanya uelewi.


