Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uyu Salah anamkimbiza beki wetu Luiz sio vizuri kabisa aise.. Salah anapaswa afungiwe mechi kadhaa[emoji41][emoji41]
Eheee upo 😂😂😂😂😂😂😂,tatizo lako ww ushabiki wa mpira huwezi,kwa hiyo matokeo ya Arsenal ndio yamekufanya uonekane.Sisi wenzako tufungwe tushinde hatukauki kwenye thread ya timu yetu.
 
Eheee upo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],tatizo lako ww ushabiki wa mpira huwezi,kwa hiyo matokeo ya Arsenal ndio yamekufanya uonekane.Sisi wenzako tufungwe tushinde hatukauki kwenye thread ya timu yetu.
Sasa mkuu huoni tumefungwa leo lakini bado nipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi arsenal hata tufungweje bado nipo ..mimi sio kama AROON au dully Jr ..apa no arsenal damu damu..
 
Huu ni uonevu ..munacheza na Spurs tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipigo kilikua hakizuiliki hata angeingia nani

Kipigo kilikua pale pale mkuu !

Hata sisi tulijipanga !

Shukuru mmepigwa chache
[emoji28][emoji28][emoji28] rafiki yangu aaarooon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…