Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil, shaka, bellerin, Tierney, elneny, mkhitaryan, holding, mavropanos, chambers, Martinez, saka

Hiyo ni timu nyengine that could play a game later today against Chelsea na ikashinda
 
Goli la Burnley limepatikana miguuni mwa Guendouz
Acha kumchukia Guendouzi mwanangu, tena sasa alitakiwa apongezwe coz he is not the last man kwenye kukosa chetu cha Leo lakini alikuwepo pale akin-track barnes. Pale kwa barnes alitakiwa awepo Luiz/Sokratis
 
Baada ya miaka 10 kwa mara ya kwanza Arsenal inashinda mechi mbili za mwanzo wa msimu.

Dani Ceballos MOTM

Up next Anfield to Liverpool.

Hii tukitoa sare litakuwa jambo la uzuri.
 
Baba Guendouz kimeo... Kwani mechi za msimu uliopita ulikua unaziangalia?
Auba 36 appearances

Iwobi and Torreira 35 appearances

Guendouzi and Leno 34 appearances

Hio ndio record ya appearances ya last season kwa kikosi cha arsenal. Kwa hiyo unataka useme alikuwa anabebwa tu na kocha??

Give the kid space aiseee
 
Acha kumchukia Guendouzi mwanangu, tena sasa alitakiwa apongezwe coz he is not the last man kwenye kukosa chetu cha Leo lakini alikuwepo pale akin-track barnes. Pale kwa barnes alitakiwa awepo Luiz/Sokratis
Simchukii. Ila naona hajatosha bado.

Yule atengeneze stamina, ajenge control atakua bonge la mtu.

Ceballos hii ni mechi ya 2 lakini kila sehemu mpira upo na yeye yupo na anaufanya poa kuliko Guendouz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…