Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger ni profesa wa porojo.
Na washabiki wa Arsenal ndo wanafanya zahanati zinazidi kufunguliwa kila kata katika nchi hii.
Hii inapelekea magongwa kama vidonda vya tumbo, BP, kukosa usingizi, kuongea peke yako Barabarani nk nk nk kuzidi kuwapata watanzania wanaoshabikia Kilabu hilo la Assnail ambalo ni misimu mingi imepita pasipo kupata kombe lolote lenye ushindani wa hadhi.
Arsenal Ushuzi
Wenger Uharo...
 
'kudaaaadeki wallahi Chelsea!', yaani ndio weshatufanya mateja wao?
Inauma sana aisee.

Anyway, Hongereni sana 'watani'
Labda game ijayo tunaweza kuambulia angalau draw!

Ha ha ha..Mzee naona wakati mechi inaendelea huwa una kuwa 'guest' ..ikiishaga ndio unaibuka..

Nway, Arsenal mwaka huu inaeza kuwa another Liverpool in making, maana mechi 7, 2 lost,2 draw,and 3 wins. Hata Liverpool ilianzaga hivohivo. Naona Spurs wanawin games zao na City are defending well. UCL inaeza kuota mbawa mkiendelea na spidi hii kabla hata ya November (mwezi wa Izraili).

Nway, goodluck guys...msalimieni LIverpool huko wodini.
 
Forza Milan.....Roseneri...Roseneri..!
 
Ndugu wakigombana shika jembe kalime
 
...ha ha ha, muda wote nilikuwa naangalia RYDER'S CUP, kisha nika tune game yenu AC Milan jana na ushindi wenu mduuuuchu wa 1 - 0. Naona Ronaldinho kidogo kidogo anageuka Dr Dolittle, unene ushaanza kumshinda.
 
Poleni washabiki wa Arsena hiki ni kipande cha gazeti la The Sun la Uingereza toleo la leo!!

"Marouane Chamakh doesn't have Drogba's ability to hold the ball up and bring others into play while Andrey Arshavin gave up on two many challenges.

Gunners' central defensive new-boys Laurent Koscielny and Sebastien Squillaci looked nervous wrecks in much the way Philippe Senderos used to.
 
Kutoka kwenye jukwaa la Chelsea 606

Wenger has become the worst loser in Sport

'kudaaaadeki wallahi Chelsea!', yaani ndio weshatufanya mateja wao?
Inauma sana aisee.

Anyway, Hongereni sana 'watani'
Labda game ijayo tunaweza kuambulia angalau draw!
Pole sana mzee mwenzangu,ila mwaka huu mmh!. Unanitia shaka, si kawaida yako. Saa hizi ungekuwa tayari unatupandisha presha mpaka labda Nov, Dec huko, ndio ungekuwa unaanza kudorola. Lakini safari hii mbona mapema mno?
 
Hahahaha! Hiki kipande kilianza hivi:

Source: Chelsea 2 Arsenal 0 | The Sun |Sport|Football
 
...ha ha ha, muda wote nilikuwa naangalia RYDER'S CUP, kisha nika tune game yenu AC Milan jana na ushindi wenu mduuuuchu wa 1 - 0. Naona Ronaldinho kidogo kidogo anageuka Dr Dolittle, unene ushaanza kumshinda.
Hivi rider cup ndio nini vile..? lol..Rossoneri tupo safi..tena umenkumbusha inabidi tuanzishe thread yetu..

Mie jana n'likua n'kenua tu pale midfielder wetu wa zamani ( Ancelloti) alipokuwa anaorganize kikosi cha ushindi..lets face it..sasa hivi hakuna tactical coaches ktk modern football zaidi ya 'The Special One' na Ancelloti.

Sforza Ancelloti..
 
Pole sana mzee mwenzangu,ila mwaka huu mmh!. Unanitia shaka, si kawaida yako. Saa hizi ungekuwa tayari unatupandisha presha mpaka labda Nov, Dec huko, ndio ungekuwa unaanza kudorola. Lakini safari hii mbona mapema mno?

...we acha tu, maji yamezidi Unga!
Hivi Bubu Ataka Kusema kapotelea wapi wakuu?
au ndio mambo ya kampeni za uchaguzi 2010?

Abdulhalim;

...No wonder Tiger 'hachezi vizuri' michuano hii. πŸ™
 
...we acha tu, maji yamezidi Unga!
Hivi Bubu Ataka Kusema kapotelea wapi wakuu?
au ndio mambo ya kampeni za uchaguzi 2010?

...No wonder Tiger 'hachezi vizuri' michuano hii. πŸ™

Bubu naona kakimbia matusi .. ...

Watukutu wamechukua Ryder cup, lakini ni kosa la Mickelson bana amepoteza mechi mbili Arghhhhhhhhhh. (Nitaiangalia weekend mechi za singles nasikia Tiger alipata eagle from more than 100 yards ... ... ...Wawasubiri sasa watakapowatembelea

BTW ukitaka kujua nini hasa kilicho ndani ya wapenzi kwenye hizi mechi inabidi uangalie mashindano haya ... .... ...... utajifunza mengi.
 
Abdulhalim;

...No wonder Tiger 'hachezi vizuri' michuano hii. πŸ™

Ryder cup najua ni golf, nilikuwa nakujoke tu najua unadanganya..ulikuwa ukiangalia mtanange wa pale darajani, sema tu najua ulikuwa unatafuta jinsi ya kuchutama..Ok inaruhusiwa kuchutama baada ya kuvuliwa nguo hadharani na watoto wa matajiri wa London.
 
Khe khe Kheeeeeee Abraham O Vich akifa na timu imekufa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Khe khe Kheeeeeee Abraham O Vich akifa na timu imekufa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee.
Mie sina sishabikii Chelsea, nafuatilia maendeleo wa kiungo na kocha wetu wa zamani mzee Ancelloti..hao Chelsea wenyewe sasa hivi wanaenda kwenye youth system kwa sababu ya requirements za UEFA. Hakutakuwa tena na matumizi ya pesa isiyojulikana ilipotoka tena huko mbeleni. Hivyo najua yule mmerekani Kenyon anajua nini anafanya kwenye kubalance mahesabu.
 
Mbona unajihisi na maelezo mirefuuu?
 
...nakwambia, walau Day 3 ya Ryder Cup imetupa "Tiger's Touch!" ila wa uropa wamepata msemo kweli leo mpaka wanaboa!
Sasa nageuzia macho na masikio Commonwealth Games, EPL inaendelea tu mpaka May wala hamnipi shida msiotutakia kheri washika bunduki.

...ha ha ha, unaona sasa? haya bana.
Jana nilitune sky sports (Arsenal Vs Chelsea) kwa dakika mbili tatu kuangalia update tu,
halafu jamaa zangu wengi supporters wa Arsenal nao jana hawakuangalia game hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…