Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hapo ndo patakapoleta utata
Arsenal watamlipa tu. Kwani watashindwa?Coutinho mshahara wake mmmmhhhhh
Reports in Spain say Philippe Coutinho is on his way out of Barcelona, with a loan move to the Premier League being sorted out...
Pepe kapewa mshahara kiasi gan kwa week?Ornstein:
"Well, before deadline day, Arsenal want to bring in a centre half if possible. Left back Kieran Tierney is the target, we all know about that. Arsenal retain their interest in him." #afc
coutinho anaenda kucheza wapi?! arsenal kuna iwobi,nelson,Auba na mikki...alafu msharaha wake ni mkubwa sana.....vipi hapo aroon?Agusto Benedito (former candidate for Barcelona presidency): Neymar is coming and Coutinho will leave the clubhttps://t.co/P3OCJSDjuD
Iyo ni baada ya kujaHizo ndoto zilikuwa enzi akiwa Anger hata hajaenda lille
Sasa hivi ndoto zake ilikuwa aje Arsenal


cunajua tena ndo anapopatia ugali wake..kaja kuchuma za kwake asepe ..Chelsea ndo destination yake, kaa kutulia muda ukifika.Sio mind game wala nini ..ni baada ya mgt yenu kulia lia mkakubaliwa kulipa kwa mafungu, halafu kutangazwa imelipwa cash yote iyo ni illusion tu maana ni mkataba tiyari uwakika wa kutoka iyo upo, ila kwa mafungu mafungu.Alikuwa anadanga humu ohoo MNA bajeti ya 40 , hakujua hiyo ilikuwa mind game tu ya viongoz wa Arsenal kwenye soko la USAJIRI,
Jana Rais wa lille kathibitisha kapokea €80m cash ,
Anayesema tumelipa mafungu ajiulize
Kulikuwa na Timu hizi Arsenal,PSG,Liverpool,man u, Napoli , na timu mbili kutoka Spain zote ziliweka mezani €80m
Hadi wiki iliyopita ijumaa usiku mawakala wa Pepe walikuwa Napoli na picha wakapiga wakikaribia kumaliza dili, SAA 7 usiku Arsenal anapanda dau na Pepe anapewa bonuses nzuri na kuonyeshwa Project ya Arsenal,
Maswali kwa wanaosema tunalipa kwa mafungu kama wanavyoamin ,Inakuwaje lille waache £72m(€80m) Cash za NAPOLI,PSG, MAN U ,n.k wachukue mafungu mafungu ya Arsenal kama media za Uingereza zinavyotaka kuaminisha watu.
Maana siku Arsenal amepeleka OFA kwa lille ya euro mil 72 , L EQUIPE walilipoti , Haikupita dk 5, vyombo vya Uingereza vile vile vilivyosambaza propaganda kuwa arsenal INA bajeti ya 40 , vikapinga vikasema Arsenal hawez kutoa hela hiyo.
Juzi Arsenal amebadili upepo wanakuja na propaganda kuwa ni kwa mafungu.
Arsenal kwa mwaka wanalipa £240m wage bills , wanaingiza £500m kwa mwaka,
Kuna dili la Adidas £60m KWA mwaka
Emirates £30m per yr
Kagame anatoa £10m per yr
Halafu MTU anaamin propaganda hiyo kuwa bajeti ni £40-45m
Ulaya na dunia mzima wanaelewa matajiri, wababe, wakubwa wa London wauni wa town ni akina nani ..sasa wee kaa apo umebisha maharage unapumua unajipa moyo na hii Arsenal iliyojichokea. Unai keshasema msitegemee chochote msimu huu..Una Moyo mkubwa sana,hivi mchezaji gani wa maana atakuwa na ndoto za kuchezea timu ndogo kama chelsea?nyinyi ni underdog pale england sawa na nottingham forest,blackburn rovers na leicester city
Drogba ilikuwa ni utoto unamsumbua alivyokaa Chelsea msimu mmoja akagundua kuwa timu ya kukuzia jina sio nyingine ni Arsenal. Siku aliyoondoka Chelsea fan boys wa AssAnal mulifurahi kuliko pita maelezo...Kwani legend wenu DROGBA alikua anaipenda timu gani kipindi hajaja chelsea,,,mbn unaongeaga pumba we jamaa!![]()
Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafunguAnother possible way of lining up:
4-3-3
Leno
Bellerin Sokratis Holding Tierney
Torreira Xhaka
Ceballos/Ozil
Pepe Auba
Laca










"Iam convinced" ina maana sio chagua lake ama?Pepe “I am convinced that Arsenal is the right choice.” https://t.co/T0pVAe2sShView attachment 1169532
mkuu ela zao wanatoa kwa mafungu, sasa cjui pepe alijui hili suala ..wanaeza mlipa jamaa kwa mafungu au per gamePepe kapewa mshahara kiasi gan kwa week?




Mshahara wake ni makubaliano tu ,either walipe wote wawili au anayemmilik mchezaji, halafu swala la namba lisikupe shida ,atacheza tu, halafu sasa hiv kuna watu wanaondoka ,coutinho anaenda kucheza wapi?! arsenal kuna iwobi,nelson,Auba na mikki...alafu msharaha wake ni mkubwa sana.....vipi hapo aroon?
Kwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!Drogba ilikuwa ni utoto unamsumbua alivyokaa Chelsea msimu mmoja akagundua kuwa timu ya kukuzia jina sio nyingine ni Arsenal. Siku aliyoondoka Chelsea fan boys wa AssAnal mulifurahi kuliko pita maelezo...