Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
 
Arsenal's incomings in the transfer window:

Dani Ceballos [loan]
William Saliba [£27m]
Gabriel Martinelli [£6m]

Nicolas Pépé [£72m]
Kieran Tierney [£25m]

Not bad for a £45m budget.
Izo ela mnalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Aston Villa analipa cash iliyokamilika ninyi munalipa kwa mafungu hahaha..haha
 
Izo ela mnalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Aston Villa analipa cash iliyokamilika ninyi munalipa kwa mafungu hahaha..haha
Acha ushubwada ,

Aliyekwambia tunalipa kwa mafungu nan?

Ulianza kuropoka humu kuwa kwa bajeti ya 40 hatusajiri ,

Jana rais wa lille kasema hela imelipwa €80m cash
 
Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Hizo ndoto zilikuwa enzi akiwa Anger hata hajaenda lille

Sasa hivi ndoto zake ilikuwa aje Arsenal
 
In the end what counts ni usajiri acha reasoning za sungura aliechemka ndizi
Alikuwa anadanga humu ohoo MNA bajeti ya 40 , hakujua hiyo ilikuwa mind game tu ya viongoz wa Arsenal kwenye soko la USAJIRI,

Jana Rais wa lille kathibitisha kapokea €80m cash ,

Anayesema tumelipa mafungu ajiulize

Kulikuwa na Timu hizi Arsenal,PSG,Liverpool,man u, Napoli , na timu mbili kutoka Spain zote ziliweka mezani €80m

Hadi wiki iliyopita ijumaa usiku mawakala wa Pepe walikuwa Napoli na picha wakapiga wakikaribia kumaliza dili, SAA 7 usiku Arsenal anapanda dau na Pepe anapewa bonuses nzuri na kuonyeshwa Project ya Arsenal,

Maswali kwa wanaosema tunalipa kwa mafungu kama wanavyoamin ,Inakuwaje lille waache £72m(€80m) Cash za NAPOLI,PSG, MAN U ,n.k wachukue mafungu mafungu ya Arsenal kama media za Uingereza zinavyotaka kuaminisha watu.

Maana siku Arsenal amepeleka OFA kwa lille ya euro mil 72 , L EQUIPE walilipoti , Haikupita dk 5, vyombo vya Uingereza vile vile vilivyosambaza propaganda kuwa arsenal INA bajeti ya 40 , vikapinga vikasema Arsenal hawez kutoa hela hiyo.

Juzi Arsenal amebadili upepo wanakuja na propaganda kuwa ni kwa mafungu.

Arsenal kwa mwaka wanalipa £240m wage bills , wanaingiza £500m kwa mwaka,

Kuna dili la Adidas £60m KWA mwaka

Emirates £30m per yr

Kagame anatoa £10m per yr

Halafu MTU anaamin propaganda hiyo kuwa bajeti ni £40-45m
 
Una Moyo mkubwa sana,hivi mchezaji gani wa maana atakuwa na ndoto za kuchezea timu ndogo kama chelsea?nyinyi ni underdog pale england sawa na nottingham forest,blackburn rovers na leicester city
Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
 
Una Moyo mkubwa sana,hivi mchezaji gani wa maana atakuwa na ndoto za kuchezea timu ndogo kama chelsea?nyinyi ni underdog pale england sawa na nottingham forest,blackburn rovers na leicester city
Anadai kwa kuwa walifungiwa , Hahahaaa
arsenal_react-20190727-0001.jpeg
 
Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Kwani legend wenu DROGBA alikua anaipenda timu gani kipindi hajaja chelsea,,,mbn unaongeaga pumba we jamaa!
 
Another possible way of lining up:
4-3-3
Leno

Bellerin Sokratis Holding Tierney

Torreira Xhaka

Ceballos/Ozil

Pepe Auba
Laca
 
Juventus are willing to loan out Daniele Rugani to get him some first-team football and Arsenal are keen to land him. [Gazzetta dello Sport]
 
Arsenal have sold Takuma Asano to Partizan Belgrade in a £1m deal. He joined Arsenal three years ago for £3.5m but never played for the club.[The Sun] #afc
 
Back
Top Bottom