OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Angalia timu walizofika ao wachezaji, wangefika Arsenal wangefanikiwa chochote? Arsenal sisi tunaijua bana. Wachezaji wengi walipata mafanikio baad ya kuondoka arsenal mf Van perse, Samir Nasri, Fabrigas, bernayoun, na wengin wengi. Wachach ndo walifel kma Alexander Song, micktarian, Alexis, na kadhalika. Arsenal tunaijua bana sio clab ya kuleta mafanikio kwa wachezaji wengi hasa wa kutoka ufaransa ligue 1 ..wengi walifeli na wataendelea kufeli tu apo, ata uyo Pepe atafeli mapema sana. Arsenal yenye kuleta mafanikio iliisha na kizazi cha akina Thierry Henry baada ya hapo ni kupanda na kushuka tu kusiko eleweka..Kwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,
League 1 iliyokutolea wachezaji waliokitoa hiko kitimu chako cha uchochoroni japo na wewe leo hii umekajua na kuanza kukishabikia unaitusi hivi??????
Drogba ndio aliyeitambulisha hiyo cheltako na alitoka marseille league 1 leo unaiita ligi ya wakulima!!!!!!!jamani jamani....
Au kipindi hazard anasajiliwa kutoka lille wewe bado ulikuwa nyamkunya huko?????huyajui ya duniani?
Deschamps
Dersaily
Zouma
Malouda
Bakayoko n.k nao muliwatoa hukohuko hebu kuwa na adabu bwamdogo