Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kia Joorabchian (Coutinho agent) is an Arsenal fan and backed the #WecareDoYou campaign 2 weeks ago.

https://t.co/P3OCJSDjuD
Hale End Graduate AcardemyView attachment 1170645
Coutinho Agent Kia Joorabchian is a proper Arsenal fan by the way...
Hahaaaaa ni tetes kama tetes nyingine ,Kwa hizi habari zako. Sasa huu utakuwa uchochozi make naona unatumika na wachochezi![]()
Poa poaUsisahau kunitumia live stream link ya mechi yetu keshokutwa
Kuna option rahisi kwake amabayo ni Liverpool ila sidhani ka inawezekana maana kama kuna SintofahamuKwa hizi habari zako. Sasa huu utakuwa uchochozi make naona unatumika na wachochezi![]()
Sokratis isn't a good defender and neither Mustafi. Kifupi hamna beki mkali hapoAna makosa gani sasa , au hujui tatizo kwa arsenal ni Mustafi na LB?
Tumia app ya live net TV wanaonesha list game zote zinazokuwa live unafanya kuchagua na kuwatch hapo hapoUsisahau kunitumia live stream link ya mechi yetu keshokutwa
Coutinho mshahara wake mmmmhhhhhKUNA TETESI ZINASEMA TUNAMUHITAJI COUTINHO KWA MKOPO, ZIMETOKA LEO
Arsenal are trying to sign Coutinho on loan. [@RafaelH117]
PIA KUNA TAARIFA ZIMEVUJA KUWA BARCELONA KUNA TIMU WAMEKUBALIANA IMCHUKUE COU KWA MKOPO
JE NI LIVERPOOL?
stay tuned
Tumia app ya live net TV wanaonesha list game zote zinazokuwa live unafanya kuchagua na kuwatch hapo hapo
Hapo ndo patakapoleta utataCoutinho mshahara wake mmmmhhhhh
Kwenye dili kama hizi ,kuna makubaliano mlipe wote au. ..mmoja wapoCoutinho mshahara wake mmmmhhhhh
Tunaoangalia mpira ndio tunakwambia , na Uongoz wa arsenal unamuondoa mustafi , unasema hivo kwakuwa hujui,Sokratis isn't a good defender and neither Mustafi. Kifupi hamna beki mkali hapo
Kolasinac, Maitland wote beki za hovyo