Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu
Hahahaah! Jamaa unateseka sana yani unaumia kweli, inawezekana we ni mamluki mliokimbia Arsenal so unatafuta justification ya maamuzi yako humu.
 
Kwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!

Grow up,mzee, come into the reality ushabiki wa kimahaba mbaya sana

we pepe kuja Arsenal umeumia kweli yani, na ndio kashakuja arsenal now, anavaa jezi nmb 19.
Huo ni mtambo ,usikuumize kichwa
 
Club talking to Samuel Umtiti and Boubacar Kamara. 2 offers rejected for Rugani. Juve want him gone permanently, unknown if #AFC will continue to pursue his services.
 
Huwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu
Kwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,

League 1 iliyokutolea wachezaji waliokitoa hiko kitimu chako cha uchochoroni japo na wewe leo hii umekajua na kuanza kukishabikia unaitusi hivi??????

Drogba ndio aliyeitambulisha hiyo cheltako na alitoka marseille league 1 leo unaiita ligi ya wakulima!!!!!!!jamani jamani....

Au kipindi hazard anasajiliwa kutoka lille wewe bado ulikuwa nyamkunya huko?????huyajui ya duniani?

Deschamps
Dersaily
Zouma
Malouda
Bakayoko n.k nao muliwatoa hukohuko hebu kuwa na adabu bwamdogo
 
Club talking to Samuel Umtiti and Boubacar Kamara. 2 offers rejected for Rugani. Juve want him gone permanently, unknown if #AFC will continue to pursue his services.
Huyu kamara yupo timu gani?
 
Kwahiyo huyo ngolo kante,bakayoko na hazard wametoka ligi gani????duh kweli wewe unafaa kupewa tuzo ya uropokaji bora,

League 1 iliyokutolea wachezaji waliokitoa hiko kitimu chako cha uchochoroni japo na wewe leo hii umekajua na kuanza kukishabikia unaitusi hivi??????

Drogba ndio aliyeitambulisha hiyo cheltako na alitoka marseille league 1 leo unaiita ligi ya wakulima!!!!!!!jamani jamani....

Au kipindi hazard anasajiliwa kutoka lille wewe bado ulikuwa nyamkunya huko?????huyajui ya duniani?

Deschamps
Dersaily
Zouma
Malouda
Bakayoko n.k nao muliwatoa hukohuko hebu kuwa na adabu bwamdogo
Huyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hoja

Angalia anamponda pepe anasema katoka ligi mbovu, huku anamsifia ngolo ,maana yake hata kujenga nae hoja utaumiza kichwa chake
 
Tarehe kama ya leo huyu mwamba alijiunga na Arsenal mwaka 1999 kutoka Juve kwa ada ya paund 11 hongera legend
IMG-20190803-WA0011.jpeg
 
20 years ago today, Arsenal signed Thierry Henry from Juventus for a club record fee of £11m.

Here’s a throwback to my first ever Arsenal game (Sunday 25 November, 2001) when he had roars of ‘Give it to Barthez” swirling round Highbury.
 
Throwback to the time when Marco Materazzi and Javier Zanetti were arguing over who will get Henry's shirt. One of the best players ever to play the beautiful game.
IMG_20190803_100620.jpeg
 
He was the first player to score more than 20 Premier League goals for five consecutive seasons and voted the best PL player of the 2000s

The most Premier League Golden Boot awards in history.

He's an invincible, too.

On this day in 1999, Thierry Henry signed for Arsenal.
IMG_20190803_103944.jpeg
IMG-20190803-WA0011.jpeg
 
So reading between the lines regarding Coutinho. Any loan would he followed by an obligatory purchase as any fee paid between €25m-€30m (£22.8m-£27.4m) would be deducted from his fee next Summer so he'd probably then go for €62m (£57m).
 
Huyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hoja

Angalia anamponda pepe anasema katoka ligi mbovu, huku anamsifia ngolo ,maana yake hata kujenga nae hoja utaumiza kichwa chake
hahaaaha! NABII TITO
 
Kwa hiyo Drogba kusema anaipenda Arsenal kwako umetafsiri ni utoto,ila pepe kwa chelsea umeona si utoto!!

Grow up,mzee, come into the reality ushabiki wa kimahaba mbaya sana

we pepe kuja Arsenal umeumia kweli yani, na ndio kashakuja arsenal now, anavaa jezi nmb 19.
Sasa unadhani Didier angecheza arsenal angepata mafanikio kisoka? Ndo maana nasema ulikuwa ni utoto unamsumbua. Alivyotambua Chelsea ndo destiny yake iyo iyo arsenal aliyoipenda aliiadhibu vya kutosha. Enewei ngja tuone Pepe atafnya nin atakapokutana na Chelsea maan ndo dream yake.
 
Huyo ni mtambo ,mm nilivyojuaga huu ni mtambo kama NABII tito ,nikaacha kumjibu , nilikuja kugundua ni NABII Tito, maana anaongea nonsense , Badala ajenge hoja

Angalia anamponda pepe anasema katoka ligi mbovu, huku anamsifia ngolo ,maana yake hata kujenga nae hoja utaumiza kichwa chake
Ngolo Kante kaanzia Leicester City na alikuja wakati ambapo timu nying azikujua uwezo wake mapema.
 
Back
Top Bottom