Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asante wakuu kwa updates...wengine saizi net inasuasua, hope soon itatengamaa...tupo pamoja wakuu wote wa gunners na wale wote watimu zingine....
 
Asante wakuu kwa updates...wengine saizi net inasuasua, hope soon itatengamaa...tupo pamoja wakuu wote wa gunners na wale wote watimu zingine....

Ba'Mkubwa ulipoteaa, uko salama? Eniwei, naona Arsenal inasua sua ila leo si haba, Man U hoi..lol:becky:
 
Ba'Mkubwa ulipoteaa, uko salama? Eniwei, naona Arsenal inasua sua ila leo si haba, Man U hoi..lol:becky:

...kimya kimya tu nashangilia hapa, shauri yenu Man U!
Hongereni washika bunduki wenzangu!
 
Baada ya mechi ya leo nadhani Positive ni:

  • 6 maximum point
  • CL Away win.
  • No nasty injury
  • Winning games even without our keys players: Vermaelean, Fabregas, Walcoltt and RVP ( oops I forgot Almunia and Diaby:confused2::confused2🙂
  • Fabianski had a good game which will boost his confidence.
Sasa negative:
  • Almunia na Diaby wanaweza kurudi mechi ya Chelsea:mad2:
  • Difensi bado tupo slow ku-react na zaidi Sagna, ingawa hata Gibbs na Djorou walikuwa na ganzi,
pengine tutakuwa na Vermaelean lakini huyu Sagna sijui kafikwa na nini? hata mechi ya W.Brom goli la mwanzo jamaa alimpita kiulaini mno.
  • Tatizo sugu lipo palepale, tunataka tap-tap hadi goli, hakuna anayethubutu kupiga mashuti hata kama
mchezaji anakuwa ndani ya box anatafuta mtu ili aendelee na tap-tap.
 
[QUOTE

  • Tatizo sugu lipo palepale, tunataka tap-tap hadi goli, hakuna anayethubutu kupiga mashuti hata kama
mchezaji anakuwa ndani ya box anatafuta mtu ili aendelee na tap-tap.[/QUOTE]

hii tabia inakera mno mkuu,sijui hawaendi kujiona baada mechi hili warekebishe makosa yao,manake hii ni too much sasa,kila siku makosa yale yale tu.
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png

...wenye wivu wajinyonge, mwanzo mpya...
tunataka makombe yetu yarudishwe kabatini!
 
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
AshburtonSigcopy-1.jpg
Haupo peke yako...
Leta issue tuongee!
Ahaa Wewe Mashabiki Wa Arsenal Tupo Wa Kumwaga 2 Si Unaona Jinsi Chelsea Alivyopelekwa Mperampera?
Abedayor Bado Kijana Mdogo Anayo Nafasi Ya Kujifunza Toka Kwa Wakongwe Kama Mtu Mzima Henry Na Van Persie Kwa Hiyo Tumpe 2 Nafasi
Hongera kwa jana, nami ni arsenal, Wigan 0- 1 Arsenal, inatia moyo.
Baadaye.
Kumbe kuna chemba la Arsenal hapa. Haya nipo mazee.
Wewe Worm, acha kuongea lugha ya kiminyoominyoo kama Mourinho. Chelsea mko wapi sasa??
waumini wa Chama la Arsenal tupo wengi DrWho.

...mnh, kimya kingi kina mshindo, "mresti in peace" huko mlipo enyi mashabiki waanzilishi wa jukwaa hili!
 
...wenye wivu wajinyonge, mwanzo mpya...
tunataka makombe yetu yarudishwe kabatini!

Makombe yapi hayo? Watoto wamezaliwa, wameanza shule, Lé Arse bado wanakusanya vumbi kwenye makabati yao.
 
...mnh, kimya kingi kina mshindo, "mresti in peace" huko mlipo enyi mashabiki waanzilishi wa jukwaa hili!

Hahahaha! Wamekata tamaa, hawaoni makombe hapo Emirates, labda mrudi Highbury au Woolwich kabisa maana ninyi ni NOMADS
 
Makombe yapi hayo? Watoto wamezaliwa, wameanza shule, Lé Arse bado wanakusanya vumbi kwenye makabati yao.
Hahahaha! Wamekata tamaa, hawaoni makombe hapo Emirates, labda mrudi Highbury au Woolwich kabisa maana ninyi ni NOMADS
Historia haiongopi...

Chelsea Football Club ...Founded in 1905,...
The club had their first major success in 1955, when they won the league championship. Chelsea won several cup competitions during the 1960s and 1970s, but after that did not win another major title until 1997. The past decade has been the most successful period in Chelsea's history, capped by winning Premier League titles in 2005, 2006 and 2010, and reaching their first UEFA Champions League final in 2008.

Kutesa kwa zamu.
 
Back
Top Bottom