Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Zaha ni main target
Plan B ni Everton
Kutoka Sky sport reporter bwana Darmaesh .
Plan B ni Everton
Kutoka Sky sport reporter bwana Darmaesh .
TEAM NEWS 

Now it's over to you: the score tonight will be: ___View attachment 1154684
Arsenal wanaangaika kumtafuta winga, lakini wana winga mkali sana sijui kwa nini hawajakiona kipaji chake; namaanisha Bukayo SakaWilliam #Saliba to Arsenal is essentially complete. #Arsenal and ASSE have reached an agreement of around €30M. Whilst both clubs are still discussing transfer bonuses, the player has already agreed with Arsenal. #RMCsport
Wanahangaika kutafuta LW Sana, labda hawa madogo wanaandaliwa as backup na kucheza RW ,Arsenal wanaangaika kumtafuta winga, lakini wana winga mkali sana sijui kwa nini hawajakiona kipaji chake; namaanisha Bukayo Saka
Tuna timu nzr ya under 23 madogo wapo vzrArsenal wanaangaika kumtafuta winga, lakini wana winga mkali sana sijui kwa nini hawajakiona kipaji chake; namaanisha Bukayo Saka
Mkuu yawezekana nina uelewa mdogo km unavyosema ila nafuatilia mpira kuliko hata unavyo dhani. Sijaanza leo wala juziNan kakwambia Liverpool wame bid kwa pepe? Halafu inaonesha una uelewa mdogo wa mpira , aliyekwambia mchezaji ni lazima acheze UCL nan? Hujui kuna bonas tofauti anapoenda timu kama arsenal kuliko hapo lile . Vitu vingine ndio maana sijibu maana inaonesha uelewa ni mdogo, unasema why asiende Liverpool , je umeambiwa Liverpool wametuma ofa?
Mkuu fuatilia mpira kwa upana acha unazi. Hawezi kuja Arsenal akaacha timu za maana.Nan kakwambia Liverpool wame bid kwa pepe? Halafu inaonesha una uelewa mdogo wa mpira , aliyekwambia mchezaji ni lazima acheze UCL nan? Hujui kuna bonas tofauti anapoenda timu kama arsenal kuliko hapo lile . Vitu vingine ndio maana sijibu maana inaonesha uelewa ni mdogo, unasema why asiende Liverpool , je umeambiwa Liverpool wametuma ofa?
Kwa maelezo yako imeonesha una uelewa mdogo , huenda unafatilia ila una uelewa finyu, usingeuliza swali hiloMkuu yawezekana nina uelewa mdogo km unavyosema ila nafuatilia mpira kuliko hata unavyo dhani. Sijaanza leo wala juzi
Unaona sasa ndio maana nimesema una uelewa mdogo umebisha, Liverpool walijihusisha na pepe kitambo sana na waliachana nae ,wala hawakuwahi kutuma ofa yoyote kwa pepe, angalia hiyo taarifa yako ni yalini , June ,Mkuu fuatilia mpira kwa upana acha unazi. Hawezi kuja Arsenal akaacha timu za maana.View attachment 1155012View attachment 1155013
Usidhan kila mchezaji anayehusishwa na timu bas anahitajika, ndio maana umeleta habari ya June ambayo hakuna aliyethibitisha Liverpool walituma ofa , Liverpool usajir wao ni wa siri sana,Mkuu fuatilia mpira kwa upana acha unazi. Hawezi kuja Arsenal akaacha timu za maana.View attachment 1155012View attachment 1155013