21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Arsenal tabu tupu, yani ni pasua kichwa
Hahahahahahahahah Hapo kuna timu moja ina uhakika wa kucheza EUROPA LEAGUE kila msimu na nyinginezo ina uhakika wa kucheza UEFA CHAMPIONSHIP LEAGUE wewe unahisi atachagua ipi hapoHuyo dogo arsenal tulishamalizana nae, tot wanaleta ujuaji wameenda kuvuruga, Sasa kilichobaki ni Dogo anatakiwa achague mwenyewe kati ya Arsenal au Tot ,
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah AISEE HahahahahahahahahhahahahahahahahahIn recent hours, #AFC have a tabled a bid in the region of €80m for Nicolas Pepe according to @TF1 information.View attachment 1152792
Msimu ujao atashiriki UEFA kama ataamua kubaki kwenye timu yake. Nipe sababu kuu mbili zitakazomfanya aje Arsenal na asiende Liverpool iliyoonyesha nia kitambo.In recent hours, #AFC have a tabled a bid in the region of €80m for Nicolas Pepe according to @TF1 information.View attachment 1152792
Hahahahahahahahah kuna vitu ukiviona kwa macho tu unacheka unapita pembeniMsimu ujao atashiriki UEFA kama ataamua kubaki kwenye timu yake. Nipe sababu kuu mbili zitakazomfanya aje Arsenal na asiende Liverpool iliyoonyesha nia kitambo.
Nan kakwambia Liverpool wame bid kwa pepe? Halafu inaonesha una uelewa mdogo wa mpira , aliyekwambia mchezaji ni lazima acheze UCL nan? Hujui kuna bonas tofauti anapoenda timu kama arsenal kuliko hapo lile . Vitu vingine ndio maana sijibu maana inaonesha uelewa ni mdogo, unasema why asiende Liverpool , je umeambiwa Liverpool wametuma ofa?Msimu ujao atashiriki UEFA kama ataamua kubaki kwenye timu yake. Nipe sababu kuu mbili zitakazomfanya aje Arsenal na asiende Liverpool iliyoonyesha nia kitambo.
Wanateseka sanaWatu mkiona tetesi za Arsenal kutaka kusajili mchezaji mnaumiaaaa
Hahahahah !
Sisi tunawazoom tu mnaoteseka.
