Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SKY SPORTS | Arsenal have made an improved bid of £25m for Celtic Left Back Kieran Tierney.
This is expected to be accepted by the Scottish club and will be the most expensive transfer in Scottish football history!View attachment 1153044

Nilisema Arsenal watarudi na dau kubwa na hii 25M yatosha kabisa kuwazingua Celtic na mazungumzo ya kukamilisha usajili yatafanyika.

Kumbuka Tierney tayari amekubali personal terms na Celtic walikuwa wanafahamu Arsenal watarudi na improved bid.

Halafu, viongozi wa Arsenal wako LA kwa mazungumzo na Stan Kroenke na mwanae Josh ili kuomba aruhusu wa-splush pesa na baada ya kesho utaona usajili wa targets zote muhimu unafanyika.

Stay Tuned.
 
Yap , ulisema kweli , na hiyo hela ndio Celtic walihitaji,

Nilichoona ujio wa Edu utasaidia sana kwenye usajiri , baada ya kikao cha kesho naweza kuona sura mpya ndan ya emirates

Nilichogundua arsenal wapo bize kutafuta WINGER YA KUSHOTO kuliko ya kulia , INAMAANISHA winger ya kulia ataikamatia bwana NELSON,

Winger za kushoto ambazo Arsenal imeweka mkazo

ZAHA

PEPE

EVERTON

Na edu amemshauri Emery amchukue Everton Soares pia na Dan alves ,

Lets wait
 
Nilisema Arsenal watarudi na dau kubwa na hii 25M yatosha kabisa kuwazingua Celtic na mazungumzo ya kukamilisha usajili yatafanyika.

Kumbuka Tierney tayari amekubali personal terms na Celtic walikuwa wanafahamu Arsenal watarudi na improved bid.

Halafu, viongozi wa Arsenal wako LA kwa mazungumzo na Stan Kroenke na mwanae Josh ili kuomba aruhusu wa-splush pesa na baada ya kesho utaona usajili wa targets zote muhimu unafanyika.

Stay Tuned.
Hivi huyo Kreonke na mwanae hawajui arsenal inahitaji nini EPL na UCL mpaka waombwe waongeze hela ili club iwe ya ushindani?
 
Arsenal’s latest bid was submitted to Celtic on Friday and Kieran Tierney is keen for the move to happen. It is complicated by the breakdown and nature of the instalments Arsenal are proposing - but there remains optimism that the transfer will be completed #AFC #CelticFC https://t.co/biLr8DOSdx
Screenshot_2019-07-14-15-44-29.jpeg
 
Wazee wa kuuliza Bid za wachezaji na kukimbia baada ya kuona maji marefu kwa Zaha mmekimbilia kwa Pepe hahahahahahahahah
 
Usipende kuropoka , kwan nyie kwa pepe mlikimbia?

Arsenal inatafuta LW , kwa zaha imetumwa ofa , na hapo hapo arsenal INA option nyingine za Winger , Kama Everton ,malcon and Pepe

Mbona unateseka ,na usajiri wa Arsenal kwan tatizo nini, Mara ujichekeshe kama shoga , Mara hivi ,
 
Naamini Arsenal itafanya vizuri ilishindwa kumaliza vizuri kwa udhaifu wa mabeki wa kati , kikosi ni kile kile cha muhimu bodi iongeze CB mmoja na AM mmoja ,RW yupo nelson, LW aletwe kati ya hao wanaotakiwa akija Zaha , Everton au pepe basi timu itakuwa imara.

Arsenal alikuwa na nafasi ya kumaliza nafasi ya 3 kabla mechi 5 kuisha maana Chelsea alikuwa wakawaida ,sasa wamefungiwa kusajiri ,no hazard .

Maana hata huyo Tottenham anayepewa nafas ya kupambana na Liverpool na man city alikuwa na form mbaya ugenini ,

Man united usajiri wake ni ule ule wa kuongeza waingereza tu sioni jipya kwake ,

Stay tuned
 
Imagine Arsenal with a £45 m budget while team like Aston villa are spending more than that.
 
Hiyo 45 uliambiwa na nani ,wakati Arsenal imetuma ofa Jana kwa pepe ya euro 80

Mambo ya arsenal yatakushinda
 
Naamini Arsenal itafanya vizuri ilishindwa kumaliza vizuri kwa udhaifu wa mabeki wa kati , kikosi ni kile kile cha muhimu bodi iongeze CB mmoja na AM mmoja ,RW yupo nelson, LW aletwe kati ya hao wanaotakiwa akija Zaha , Everton au pepe basi timu itakuwa imara.

Arsenal alikuwa na nafasi ya kumaliza nafasi ya 3 kabla mechi 5 kuisha maana Chelsea alikuwa wakawaida ,sasa wamefungiwa kusajiri ,no hazard .

Maana hata huyo Tottenham anayepewa nafas ya kupambana na Liverpool na man city alikuwa na form mbaya ugenini ,

Man united usajiri wake ni ule ule wa kuongeza waingereza tu sioni jipya kwake ,

Stay tuned
Eti Manchester usajili wake ni uleule wa kuongeza waingereza tu sioni jipya .......Nyie msisajili waingereza mmewashinda Manchester United zaidi ya kubadilishana mtaa wa 5 na 6
 
Arsenal has came back with an improved £25million bid for Tierney! Big news as this would get us our left back and Montreal could play central in a back three, now we can sell Koscielny!
 
Back
Top Bottom