Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
BREAKING NEWS! Nahodha "boss" Laurent Koscielny akataa kwenda na timu Marekani.
![]()
Koscielny ambae ana umri wa miaka 33 ameshindwa kufikia muafaka katika kuongeza muda wa mkataba wake na Arsenal, timu aloichezea kwa miaka 9.
Arsenal wametoa taarifa rasmi katika tovuti yao ambayo inaeleza kwamba ,
“We are very disappointed by Laurent’s actions, which are against our clear instructions.
“We hope to resolve this matter and will not be providing any further comment at this time.” Mwisho wa taarifa.
Habari zaidi kufuata.
Wakuu kunani tena?
