Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu tukoendelea hivi amini nakwambia UEFA tutacheza 2025/2026.
Hamna ni strategy.... Tunaweza kuamua msimu huu ni beki tu... Msimu ujao midfield.... Ule msimu mwingine washambuliaji.....basi kazi imeisha msimu wa 4 baadae tunarudi UEFA na Ligi tunabeba.

Ila kama tukisajili kwa kuunga unga bila shabaha yatatukuta ya Newcastle,Leeds au Balck burn leo hii hamna anayeweza kuamini ziliwahi kuwa tishio ligi kuu ya uingereza miaka ya 90
 
Ndugu hiyo policy ya kukuza vipaji haipingiki, ila kukataa kununu wachezaji wa maana kisa policy hairuhusu ni upoyoyo, haya sasa tunaendelea kusota na futuhi then unategemea hao watoto watatutoa kirahisi hapo?? Unai atafukuzwa kisa hao watoto. Swala la kukuza vipaji ni la academy huku timu ya wakubwa ni kazi tu, hilo swala la kukuza na kuuza, so far limetufikisha wapi? Tubadili policy tukuze vipaji na tununue wanaojua. Swala la hawapatikani kirahisi halihusiki, sio kila mshambuliaji lazima awe kama Messi ndo maana tuna kina Auba.
Nani kasema arsenal imekataa kusajili wachezaji wa maana kisa policy iliyopo? Refer offer ya Arsenal kwa Thomas lemar kipindi yupo Monaco(£92), dogo alikataa kuja arsenal pia arsenal wakagoma kumuuza sanchez kwenda city by that time

Ishu iliyopo ni kusajili quality players kwa bei ya kawaida mkuu, fatilia usajili wa Mane,salah, firmino na ata coutinho pale liverpool ujue ilkua ni kiasi gani, thn fatilia usajili wa Xhaka, mustafi na sokratis uone kama kuna utofauti wa bei zao na wale wa liverpool,thn utagundua liverpool wamepata quality players kwa cheap prices.

Ni ujanja tu wa recruitment kwenye market ndio utakupa quality,

ukijumlisha gharama ya mane + salah+firmino haiwezi zidi kiasi ambacho arsenal wangelipa kwa kumpata lemar(£92), pia sidhani kama output ya lemar pale arsenal ingewazidi hao watu wa 3 pale anfield.
 
Hawa wamarekan wa arsenal na man u wanatakiwa waziachie hizi timu
IMG_20190620_165250.jpeg
 
EMERY WANTS VAZQUEZ AT ARSENAL

Arsenal manager Unai Emery is keen to bring Lucas Vazquez from Real Madrid to the Emirates Stadium, according to Don Balon.

The Los Blancos star is expected to fall down the pecking order following the arrival of Eden Hazard and could be tempted to try his luck further afield.

The Gunners are thought to be interested in securing a deal that would see him move to the Premier League, though Roma and Inter are also interested.
 
Usajili News Updates:

1
. Arsenal wameachana na Joachim Andersen wa Samprodia na huenda akaenda Tottenham. Arsenal wanataka kukazania dili la William Saliba.

2. Carl Jenkinson anakwenda West Brom Albion.

3. Kieran Tierney wa Celtic bado yupo kwenye orodha ya mabeki wa kushoto wanaohitajika.

4. David Ospina amehamia moja kwa moja Napoli ya Italy.

5. Mazungumzo bado yanaendelea kati ya Arsenal na Saint Etienne ya kumsajili William Saliba, lakini Arsenal hawako tayari kulipa pauni milioni 30 kama ada ya uhamisho.

6. Alexis Claude-Maurice amebadili mawazo na anataka kwenda Ujerumani.

7. Dogo mwingine Eddie Nketia anakwenda Charlton timu ya daraja la kwanza kwa mkopo.

8. Majina ya washambuliaji wa pembeni Wilfried Zaha na Ryan Fraser ndo yanazungumzwa kwa sasa lakini Fraser ndie amepewa kipaumbele.

9. Edu karibu anarejea Arsenal mara baada ya Copa America kuwa mkurugenzi wa mpira.

na mwisho Petr Cech ametangazwa rasmi kuhamia Chelsea kuwa mkurugenzi wa mpira wa timu hiyo, honger zake.

Tuzidi kusubiri kupeana more updates maana suala la usajili wa Arsenal safari hii ni gumu kidogo, tuwe wavumilivu.
 
Aisee.
 
Msimu wa usajili huwa tuna maneno mengi sana, media zinaibua maneno na fununu nyingi sana za usajili, on the end hakuna kitu cha maana.

Zis iz arsenali bwana!!
 
Yannick carrasco amegoma kucheza na kufanya mazoezi katika timu yake ya dalian yifang ya nchini china na hii ni baada ya dalian yifang kutaka dau kubwa baada ya Arsenal kumhitaji Carrasco
 
yaan mimi upendo wa kushabikia hii arsenal umepungua sana aisee yaan bora wenger angebaki kabisa
 
ARSENAL SET LUCAS TORREIRA TRANSFER FEE AS AC MILAN PUSH TO LAND URUGUAYAN

Arsenal will demand £45million from AC Milan for Lucas Torreira if the midfielder asks to leave this summer.

Torreira's future is in serious question just one year on from his £26million arrival from Sampdoria.

The Uruguay international, 23, played 50 times for the Gunners in his debut campaign at the Emirates.

But the player has struggled to settle in England and is keen on a return to Italy
 
Arsenal could happens (transfers) next week like agree fee and medical because new kits launch getting close
 
Usajili News Updates:

1
. Arsenal wameachana na Joachim Andersen wa Samprodia na huenda akaenda Tottenham. Arsenal wanataka kukazania dili la William Saliba.

2. Carl Jenkinson anakwenda West Brom Albion.

3. Kieran Tierney wa Celtic bado yupo kwenye orodha ya mabeki wa kushoto wanaohitajika.

4. David Ospina amehamia moja kwa moja Napoli ya Italy.

5. Mazungumzo bado yanaendelea kati ya Arsenal na Saint Etienne ya kumsajili William Saliba, lakini Arsenal hawako tayari kulipa pauni milioni 30 kama ada ya uhamisho.

6. Alexis Claude-Maurice amebadili mawazo na anataka kwenda Ujerumani.

7. Dogo mwingine Eddie Nketia anakwenda Charlton timu ya daraja la kwanza kwa mkopo.

8. Majina ya washambuliaji wa pembeni Wilfried Zaha na Ryan Fraser ndo yanazungumzwa kwa sasa lakini Fraser ndie amepewa kipaumbele.

9. Edu karibu anarejea Arsenal mara baada ya Copa America kuwa mkurugenzi wa mpira.

na mwisho Petr Cech ametangazwa rasmi kuhamia Chelsea kuwa mkurugenzi wa mpira wa timu hiyo, honger zake.

Tuzidi kusubiri kupeana more updates maana suala la usajili wa Arsenal safari hii ni gumu kidogo, tuwe wavumilivu.
Eddie nketiah huyu mtoto apewe nafas namuelewa sana ,

Naiman akipewa nafas zaid itakuwa sawa
 
Back
Top Bottom