Hamia ,wasalimieArsenali mzinguo nahamia Norwich.
bora mkuu maana hapa utakonda bureee, hamna timu hapa, ni kikundi cha wacheza ngwasuma wamejikusanya wakaunda genge laoArsenali mzinguo nahamia Norwich.
Mkuu awa wana pound million 40 tu ivyo wanasubiri ule muda wa lala salama ili waokoteze wakina gundogazzi wapya hahahaVip hapa mshasajili galasha gani mpaka sasa? Au mnasubiri dirisha likishakaribia kufungwa mkagombee wachezaji wa mafungu




wanafeli sana hawa jirani zetuMkuu awa wana pound million 40 tu ivyo wanasubiri ule muda wa lala salama ili waokoteze wakina gundogazzi wapya hahaha![]()
Torreira hauzwi, Ac milan msijisumbue, full stop.Unless wekeni dau £90+million... Huyu Gazidis vipi?ARSENAL SET LUCAS TORREIRA TRANSFER FEE AS AC MILAN PUSH TO LAND URUGUAYAN
Arsenal will demand £45million from AC Milan for Lucas Torreira if the midfielder asks to leave this summer.
Torreira's future is in serious question just one year on from his £26million arrival from Sampdoria.
The Uruguay international, 23, played 50 times for the Gunners in his debut campaign at the Emirates.
But the player has struggled to settle in England and is keen on a return to Italy
Hutujasajili galasha na tunasubiri tugombee wa mafungu, una lingine?Vip hapa mshasajili galasha gani mpaka sasa? Au mnasubiri dirisha likishakaribia kufungwa mkagombee wachezaji wa mafungu
Arsenal hamna mchezaji wa bei hiyo labda ungesema £25 hapo sawaTorreira hauzwi, Ac milan msijisumbue, full stop.Unless wekeni dau £90+million... Huyu Gazidis vipi?
Sawa, wewe ndio wa bei hiyo, njoo tukuuze wewe sasa.Arsenal hamna mchezaji wa bei hiyo labda ungesema £25 hapo sawa
Ndio kikundi cha wacheza ngwasuma...but what is it to you sonofabitch..bora mkuu maana hapa utakonda bureee, hamna timu hapa, ni kikundi cha wacheza ngwasuma wamejikusanya wakaunda genge lao
Ww si mshabiki wa arsenal......wacha kushoboka humuArsenali mzinguo nahamia Norwich.
😸😸😸Ndio kikundi cha wacheza ngwasuma...but what is it to you sonofabitch..
Duh😝😝Ww si mshabiki wa arsenal......wacha kushoboka tukuone tumeoa wote humu
Sawa bana.Ww si mshabiki wa arsenal......wacha kushoboka tukuone tumeoa wote humu
Sawa.Hamia ,wasalimie
Hanna kitu.Eddie nketiah huyu mtoto apewe nafas namuelewa sana ,
Naiman akipewa nafas zaid itakuwa sawa
Mkuu nakutania tu..,usinimaindi wala nnSawa bana.