Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Watu wanasajili we unacheka....Cheka kimwishomwisho ila
Watu wanasajili we unacheka....Cheka kimwishomwisho ila

️
Lacca na Auba ndo akina nani mkuu mpaka wapumzishweMaurice anakuja kuziba nafasi ya Danny Welbeck na atakuwa akicheza kama mshambuliaji kwenye mechi kama FA Cup, Carabao na Europa.
Arsenal wanataka awe anawapunzisha Lacazette na Aubameyang.



kwani nyie arsenal mna kikosi cha kupumzisha wachezaji kama ao 


Wenzenu wanatoboka paund za kutosha milion 500 uko, nyie 60 tu halafu mnataka mbebe EPL na Europa. Nakwambia hata qarabao mtashiriki tu Hahaha..Kuna pesa kutokana na ufadhili wa Adidas kuanzia July hivyo fungu laweza kuongezeka maana itaingia takribani £60 Million msimu ujao hivyo.
Pia mauzo ya wachezaji walishakadiria yataingiza bei ngapi hivyo inawapa confidence ya kufukuzia wachezaji mbalimbali.
Mkuu unaweza hamia Man city au PSG kama unataka usajili mkubwa, lakini kwa sisi Arsenal usajili wetu ndio huu miaka yoteTunapoelekea kwa usajili huu,kunawezekano msimu ujao nikajipa likizo ya kuwa mshabiki wa Arsenal manake kila siku afadhali ya jana.Manake upande wa usajili tuna bahatisha bahatisha kama wacheza kamali.
Hao ndio mashabiki maandazi, yaani anataka Arsenal isajili kama Man City bila kuangalia hali ya kifedha ya Club!Mkuu unaweza hamia Man city au PSG kama unataka usajili mkubwa, lakini kwa sisi Arsenal usajili wetu ndio huu miaka yote
Mkuu unaweza hamia Man city au PSG kama unataka usajili mkubwa, lakini kwa sisi Arsenal usajili wetu ndio huu miaka yote
Mkuu klabu imeshindwa kufuzu ligi ya mabingwa ulaya misimu 3 sasa automatic hata uchumi utashuka....kama tungefuzu bajeti yetu ya usajili ingekuwa £100m+....Wewe ndio nani uniambie nihamie PSG au Man City?
Wakati nilivyoichagua Arsenal uliniambia ww?
Natoa mtizamo wangu kama mshabiki wa Arsenal ninaijua Arsenal zaidi ya miaka 18 na napenda timu yangu ifanikiwe so ukitizama uendeshwaji wa usajili kipindi hiki na kipindi cha Wenger tofauti,sasa hivi lazima uweke mzigo wa maana,sisemi tuspend sana lkn atleast zile sehemu zenye mapungufu tutafute wachezaji wa maana.
Hao Arsenal na kadi zao za uwanachama huko London wanalamika kila siku kusajili wachezaji wakawaida,sembuse mie Mbonde wa huku kusini mwa jangwa la sahara ambaye sina kadi,au uonagi mibango ile anayo onyeshewa Kronke.
Club ina hela na inatengeneza mpunga mrefu kila msimu,lkn kwenye usajili tunataka vitonga.Huo ndio ukweli wenyewe kama hatusajili watu wa maana hata top 6 tutaisahahu na tutazidi kuumia.So huu ni mtizamo wangu.
Sasa tatizo nini?Wewe club kama Arsenal msimu uliopita tumezidiwa hata na Everton kwa bajeti ya hela ya usajili ,sometime tuwe wa kweli Arsenal ina matizo kama sio bosi Kronke basi management ina tatizo,naipenda sana Arsenal ila ukweli lazima uzungumzwe.Mkuu klabu imeshindwa kufuzu ligi ya mabingwa ulaya misimu 3 sasa automatic hata uchumi utashuka....kama tungefuzu bajeti yetu ya usajili ingekuwa £100m+....
Klorenke hahusiki na usajili kwa namna yoyote ile
Ndio nakubaliana na ww management ina matatizo...but hili naamini tutalipatia ufumbuzi...Sasa tatizo nini?Wewe club kama Arsenal msimu uliopita tumezidiwa hata na Everton ,sometime tuwe wa kweli Arsenal ina matizo kama sio bosi Kronke basi management ina tatizo,naipenda sana Arsenal ila ukweli lazima uzungumzwe.
Kwa fungu la bajeti la usajili.Ndio nakubaliana na ww management ina matatizo...but hili naamini tutalipatia ufumbuzi...
Arsenal alizidiwa na Everton nn??