(TETESI)
Wawakilishi wa Arsenal wapo France hivi sasa wakijaribu kukamilisha usajili wa wachezaji wawili au mmoja kabla ya fainali Europa League
Ni kati ya Pepe, Saliba, na Alexis Claude-Maurice.
Offer ya kwanza kwa ilikataliwa kwa Claude Maurice, haifaamiki ni kiasi gani cha offer lakini wameenda na offer nyingine ya pili kabla ya vilabu vya Leipzig, Monaco, na PSG havijatuma offer zao kwa Kiungo mshambulianji mdogo
Alexis Claude anaweza kuwa mchezaji mpya wa Arsenal kabla fainali Europa League [emoji1696]