Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili umefunguliwa rasmi jana usiku. Wazee wa tetesi tumeanza na Walter Kanneman ambapo taarifa zinasema arsenal tumetuma rasmi ombi la kumsajili beki huyo wa kati wa kimataifa Argentina anayekipiga ktk klabu ya Gremio
Arsenal imekuwa ikimfuatilia Kannerman kwa muda mrefu sasa

Halaf ni left foot
Kanemman ni mzee wa viatu na Anakaba kwa nguvu ngoja tuone dili litaendaje


Hapa naziona taa nyekundu zikimuwakia Mustafi.

HV jamaa anakwama wapi mbn kwangu namuona ni beki aliyekamilika ukimchek kwa haraka???
Mfn ana nguvu,ana mbio,anajua kutembea na MTU na akamvuluga asifanikishe lengo n.k ambazo NADHANI ni sifa za beki no4 yeyote!
Nlikuw namwelewa Mustafi sana ila ameniangusha kwa kiwango cha lami.
Mkuu nakumbuka kuna kipindi Mustafi akiwepo tulikuwa hatupotezi mechi. Alikua akipata injury paka nawaza nani ataziba pengo lake, aliwahi kucheza game kama 22 hivi unbeaten duuh,ila sasa hivi acha aende tu.
 
Mkuu nakumbuka kuna kipindi Mustafi akiwepo tulikuwa hatupotezi mechi. Alikua akipata injury paka nawaza nani ataziba pengo lake, aliwahi kucheza game kama 22 hivi unbeaten duuh,ila sasa hivi acha aende tu.
Ac Milan wanamuhitaji, aende hata kwa £15m
 
C
Arsenal x Adidas kit deal will officially start from July 2019... 25 years on from when they last wore the famous three stripes!

New deal will bring £60m a season for five years and returning back to Adidas since 1994.

Which is your preferred option 🇦 🇧 🇨 or 🇩? View attachment 1101205
 
unazungumzia mchezaj alie perform kwnye football league uingereza ,bora ingekua championship..
Christian Bielek ni mchezaji wa Arsenal aliyecheza kwa mkopo chalton msimu huu unaoisha..nmemfatilia kwa karibu ameonyesha kiwango kikubwa sana akiwa na chalton alicheza kama beki wa kati na pia kama kiungo mkabaji...the way alivyoimprove ningependa kuona kocha anampa nafasi this pre-season nina uhakika kocha atakubali kazi ya huyo dogo..


Dogo amerudisha ile confidence yake ya zamani..alipokuja Arsenal..hadi wenger alikuwa anamkubali na wenger alitegemea huyu dogo atoboe haraka kwenye timu ya wakubwa lakn bahati mbaya akaja kuumia goti akakaa nje msimu mzima lakn tangu apelekwe mkopo aisee duuuh kaupiga hatari..
 
Sipati picha watakavyokuwa wanashangilia kwa nguvu kuuubwa kuliko hata the gunners wenyewe
Acha wafu mzikane wenyewe,msimu ujao wewe na swaiba wako ManU,mtaendelea kubaki hukohuko futui hamchomoki ng'o!
 
Arsenal are going to prepare a bid for Zaha. This will be the first of many for Zaha. The question will be what will Crystal Palace accept.
 
Arsenal are going to prepare a bid for Zaha. This will be the first of many for Zaha. The question will be what will Crystal Palace accept.
Sidhani kama arsenal yetu itaweza pale kwa ubahili wa boss.
 
Ngoro Kante anaweza kuwa nje kwenye mechi ya final vs Arsenal!!!!
=_==_==_==_==_==_=
Pia kisiki Christian Bielik amerejea nyumbani tena baada ya kuwa Charlton kwa mkopo
Na kiwango chake kimepanda
Pia amesema amekuja Arsenal kugombania namba na akina Msitafi
=_==_==_==_==_==_==_
Reiss NELSON ameandika kwenye intagram yake Leo kuwaaga Mashabiki wa TSG Hoffenheim
 
As mentioned by @Kike_Marin_, Arsenal see teenage French centre-back William Saliba as a top target this summer - They’ve watched him several times this season, including last night.

Full story. https://t.co/R7IBYBN8AI
 
Takuma Asano will return to #AFC next season. @Hannover96 announced.

Klabu ya Hannover96 wametangaza kuwa mchezaji wa arsenal ambaye yupo kwa mkopo kwao Asano takuma atarudi arsenal

Wachezaji wengine ambao watarudi ni pamoja na Bielik na Nelson ambao tayari wameshathibitishwa
 
Back
Top Bottom