Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,475
Nelson namkubali sana mpira ulimkubali bundasligaTakuma Asano will return to #AFC next season. @Hannover96 announced.
Klabu ya Hannover96 wametangaza kuwa mchezaji wa arsenal ambaye yupo kwa mkopo kwao Asano takuma atarudi arsenal
Wachezaji wengine ambao watarudi ni pamoja na Bielik na Nelson ambao tayari wameshathibitishwa

Raul Sanlehhi - Arsenal Head Of Football
May 21, 2005
️
Van Nistelrooy
Scholes
Our 10th @EmiratesFACup