malindo
Senior Member
- Dec 10, 2018
- 131
- 89
Tayar #COYG
Njoo pm nipe namba yako
Njoo pm nipe namba yako
💪💪💪💪 safi....welbeck kama kanuna tuu....hakuna shaka lolote!
Utasita sita mpk lini?Yan km kuna kitu inahitaji tuombe ni hili jmn...Mungu saidia kwa hiliii
Mkuu tukomae tuwasajili wote.Mwandishi :Timu uliyokua ukiishabikia utotoni?
Zaha: Arsenal, na bado naishabikia.
Baada ya Hakim Ziyech, Alaba na wengine wengi kushindwa kuficha hisia zao, Zaha nae...View attachment 1105245
Oya siyo Ngoro bhana, ni Ngolo Kante.Ngoro Kante anaweza kuwa nje kwenye mechi ya final vs Arsenal!!!!
=_==_==_==_==_==_=
Pia kisiki Christian Bielik amerejea nyumbani tena baada ya kuwa Charlton kwa mkopo
Na kiwango chake kimepanda
Pia amesema amekuja Arsenal kugombania namba na akina Msitafi
=_==_==_==_==_==_==_
Reiss NELSON ameandika kwenye intagram yake Leo kuwaaga Mashabiki wa TSG Hoffenheim
Hajawahi kupaform vzr mech ya arsenal toka aanze soka ,Oya siyo Ngoro bhana, ni Ngolo Kante.
Halafu kwa habari yenu keshaanza mazoezi tayari.
Hahaha hii inaeza ikawa khabari mbya sana.Oya siyo Ngoro bhana, ni Ngolo Kante.
Halafu kwa habari yenu keshaanza mazoezi tayari.
Sasa mbona mnamuhofia mpaka mnaambiana anaweza kukosekana. Acha janja weweHajawahi kupaform vzr mech ya arsenal toka aanze soka ,
Ni taarifa tu nimeileta kama ilivyo, subir jumatano utajua kama tunamuhofia au lah,binafs sijawahi kuona akifanya vzr game yoyote ya arsenal ,huwa anambwela sanaSasa mbona mnamuhofia mpaka mnaambiana anaweza kukosekana. Acha janja wewe
Ni taarifa tu nimeileta kama ilivyo, subir jumatano utajua kama tunamuhofia au lah,binafs sijawahi kuona akifanya vzr game yoyote ya arsenal ,huwa anambwela sana
Uniombe nikutafunie, kwann usiziete mwenyewe kunipinga, mm namsikiaga anafanya vzr lkn game za arsenal huwa anazurura tu toka yupo Leicester , labda unikumbushe game gan aliperfom ya arsenalNikikuomba takwimu utakimbia. Ngoja nikuache kama ulivyo.
Uniombe nikutafunie, kwann usiziete mwenyewe kunipinga, mm namsikiaga anafanya vzr lkn game za arsenal huwa anazurura tu toka yupo Leicester , labda unikumbushe game gan aliperfom ya arsenal
Naona unataka nikutafutie ,huo muda sina ,subir jumatano uone anavyozurura kama kawaida yakeNaanzaje kuzileta mwnyew na wakat wewe ndio umesema. Hapo unaonekana unapiga porojo tu. Wanasheria wanasemaga, No Evidence No Right To Speak.