Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kesho ndan ya emirates
Tutakuwa tunawaaga RAMSEY NA CECH
naimani tutawaaga kwa ushindi mnono
Good bye Ramsey sina maneno ya kukuelezea, Kwakuipigania kwako Arsenal mwanangu wa kiume ataitwa Ramsey.
Good bye Petr Cech ,moja ya makipa bora niliowahi kuwashuhudia ,
COYG