Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo nyie AssAnal huwa mnanunuaga vichezaji vya paund mil 5 uko ..havina impact yeyote kweny ligi ngumu kama EPL ...mnawaleta wanacheza gemu mbili/tatu wanapoteaa ..mnamlalamikia kocha, juzi lawama kapewa Mustafi, kumbe timu nzima mbovu ...

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mkuu ngoja rusubir muda maana game 3 ndzo zitaamua nani awe top 4
 
Hawa kaa nao mbali.
IMG_20190425_143534_465.jpeg
 
Wengi wanatumia utashi wa kawaida ila binafsi nina imani kubwa na Unai Emery
Unai Emery ameikuta Arsenal imeoza, kwa signings chache alizofanya na matokeo anayopata inaleta matumaini.
Tumpe muda asuke kikosi upya, mambo mazuri yatakuja.

Ila tatizo sugu la timu yetu ni huyu Kroenke jamaa ni bahili sana anaitumia Arsenal kujinufaisha mwenyewe. Hatoi pesa za kutosha kwenye kusajili, tumekua wachukua makombo badala ya kupata cream players.
 
Back
Top Bottom