Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaa.. Mkuu inabidi tuanze kutuma vijana waanze kutundika maturubai, wengine waanze kukusanya masufuria. Halaf ongea na mwenyekiti atusaidie viti vya kukalia
Tutabeba Europa haumjui Emery Master... Maneno hayo yamerudiwa bwana mmoja mjuaji juaji wa jukwaa hili ,nasubiri uishe tuweke matanga hapa
 
Timu yenu imeoza bob, hamna hadhi ya kucheza Epl, nyie hadhi yenu ni ndondo cup
 
Hahaa.. Mkuu inabidi tuanze kutuma vijana waanze kutundika maturubai, wengine waanze kukusanya masufuria. Halaf ongea na mwenyekiti atusaidie viti vya kukalia
Wapi wanakodisha viti maana mgonjwa kafanya donation ya moyo na figo 2 hatutegemei kupona, pia tunahitaji mziki mkubwa sana marehemu mtarajiwa anapenda tarabu
 
Naona mnaongoza ball possession, hongereni itawapeleka UCL....
 
Mkuu kwa baba Aroon nasikiaga wanapiga sana taarabu pia wana maspika makubwa nadhani yatatufaa sana. Kuhusu viti mwenyekiti atausaidia.

Nasikia sa ivi marehemu ndio anatoa nasaha za mwisho kwa wanae.
Wapi wanakodisha viti maana mgonjwa kafanya donation ya moyo na figo 2 hatutegemei kupona, pia tunahitaji mziki mkubwa sana marehemu mtarajiwa anapenda tarabu
 
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabababahahahahahahahahahahahahahahahahahHabahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaA .......haaaAaaaaaaaaaaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaaaaaaaaahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaaa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…