Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumemtukana sana Mustafi baba wa watu kumbe timu lenyewe limejaa Mashoga na Mabwabwa mood ya kuangalia hata mechi ya Man city imekata Kabisa
 
Tutarudi kwenye nafasi yetu ya 6 mana hakuna namna. Kocha msenge sana tungeshinda ile mechi ya nyumbani bado tungekuwa pazuri.
 
Tutabeba Europa haumjui Emery Master... Maneno hayo yamerudiwa bwana mmoja mjuaji juaji wa jukwaa hili ,nasubiri uishe tuweke matanga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…