Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe unaropokaga sana, nafas yako nilishakwambia ni ya 5, umeona Burney walivyokuvuta shati, sasa jtano hatulazi damu, tunarud nafas yetu,wewe na nyumbu nafas zenu ni 5&6Currently nipo no tano, ila nafasi khalisi ya Chelsea ni ya tatu..
Unamdabganya mwenzako,kila unachotabiri kinafeligi,Nina uhakika Man city atakaziwa draw maana Man u atakuwa anaiwaza Chelsea ..ivyo ndo itakuwa nafasi yenu finyu iliyobaki ya kubeba ubingwa..
Vip nafas ya 3, imekuwaje wewe kilomolomo,ulisahau kuwa golin una pazia LA paun mil 71Endelea kuota hivyo ivyo ..sisi haoooo nafasi ya tatu...
Naona kweli mmeshinda 5-0Kwa sasa tumeona makosa mnayofanya ..sisi tunayafanyia kazi ..shuhudia leo mtu anakunywa sio chini ya goli tano
Na huu ndio msimamo halisCheltako hana uwezo wa kushinda game mbili mfululizo, ukishinda Leo inayokuja kipigo,
Msimamo utaisha hivi
Man city
Liver
Arsenal
Tot
Cheltako
Manyumbu
Nafasi ya ngapi?Endelea kuota hivyo ivyo ..sisi haoooo nafasi ya tatu...
Hawez kupanga kikos cha ovyo jumatano kwa reaction ya mashabik mtandaon,halafu sokratis karejea,Emery anafanya njia ya kwenda UEFA next season kuwa ngumu.spurs na Chelsea wanatoa miiba njiani yy anarudisha halaf anataka kupita.nawaona mbwa mwitu next match akitupeleka nafasi ya 6.
Alikuja anapayuka humu, sasa hiv kajipiga ban tenaNafasi ya ngapi?
hilooooKesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..
Wewe endelea kujenga kikosi cha Europa cha msimu ujao.....
😂😂😂😂Jogihno atabaki kuwa kiungo bora ulaya..
ndiyo naelewa mkuu gemu ni ngumu but tukikaza na unai akirekebisha makosa tutashinda.....hii gemu haina tofauti kubwa na ya watford...Hiyo mechi sio ya masikhara aisee, yani bora angejipigia kwa Crystal kuliko hao mbwa mwitu...
ndiyo naelewa mkuu gemu ni ngumu but tukikaza na unai akirekebisha makosa tutashinda.....hii gemu haina tofauti kubwa na ya watford...
Sasa Burnley utamueza wakati Crystal Palace watoto wa malikia umewashindwa?hiloooo
Jumatano kipigo kingine kinakujaa...Gabriel Martinelli is set to join Arsenal as an agreement has been reached.
[UOL] #AFC
Arsenal avança e encaminha acordo com jovem revelação do Paulistão
O Arsenal encaminhou acordo para contratar o atacante Gabriel Martinelli, do Ituano. Uma das principais revelações do Paulistão, o jovem jogador de 17 anos carregava o interesse de Flamengo, Cruzeiro, Santos e outros clubes, mas fez a sua escolha pelost.co
Wewe tulia ivyo ivyo ..Wolves atanikalishia nyie ..wakati sisi manure tunamla nying sana ..point tatu zingine unaenda kudondosha..Alikuja anapayuka humu, sasa hiv kajipiga ban tena
Wewe kwenye gemu zako zilizobaki una uwakika wa point tano tu..Hawez kupanga kikos cha ovyo jumatano kwa reaction ya mashabik mtandaon,halafu sokratis karejea,
Tunahitaji kushinda mech 2 mfululizo ,kabla hatujamalizia mech moja ya emirates ambayo cheltako wala nyumbu hawez kutufikia,
Tungeshinda Jana tulikuwa tunahitaji point 4 tu,
Amin nakwambia game ya wolves tunashinda , hawez kurudia upuuz wake wakupanga kikos kibovu,