OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kwel mimi ni kiazi maana leo asubui tu nilimwambia AROON mna fixture ngumu na leo mtapoteza maan CP aez kubali kupigwa mara mbili na timu zote kubwa ..juzi kaliwa na City na leo kamla mtu tena kweny geto lake ..ulifaa kujibu baada ya mechi ya napoli unajibu leo....unadhihirisha ukiazi....
Kesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..Uzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u
Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
Ndio mpaka muda ufike, ila sio sasaNa nyie mnaeza tunguliwa na Banle
Wewe acha kelele kwan timu lako lipo nafas ya ngapi
Yan ligi iishe bhana presha kila kukicha
Kwel mimi ni kiazi maana leo asubui tu nilimwambia AROON mna fixture ngumu na leo mtapoteza maan CP aez kubali kupigwa mara mbili na timu zote kubwa ..juzi kaliwa na City na leo kamla mtu tena kweny geto lake ..
atakuwa keshajifunza leo....nasubir mechi ya wolves...
Humo kwenye group ni vilio tu sa ivi..kama kuna grup la whatsapp wakuu naomba link
Khe khe khe khe khe....zimebaki mechi Ngapi vileUzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u
Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
Yan Leno tumepigwa. Kipa gani ukilenga tu ImooooUzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u
Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
Ila timu yetu kutokuwa na winga ni tatizo kubwa sana kiasi kwamba watu wote ndani wanakuwa useless! I hope tupate winger 2 msimu ujao!
Chelsea hana tatizo, lile ni km gari la mkaa trip shamba trip gerejiKesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..
Wewe endelea kujenga kikosi cha Europa cha msimu ujao.....
Sasa we jamaa kwani kocha wako leo kapanga wachezaji wa cardiff city?Matatizo yenu hayafanan na yetu
Wewe una timu mbovu ,hata first eleven huna
Mimi kocha kazingua toka unatoka lineup
Ambayo ikitokaga haponi MTU, ni ile iliyokunyoa 2-0