Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
unai hajatufanyia fair kabisa leo
Mpaka sasa uhakika ni Liverpool Manchester city na Tottenham hawa lazima waingie top 4 ila sisi mhhh kaka ni Mungu tusubiri aamueMechi za away hatuko vizuri. Nyumbani ni ngome alafu jamaa anapanga kikosi mbofu mbofu. Ilitakiwa mechi hizi za nyumbani tufunge hesabu ugenini tukabahatishe!
Unajua bora mfungwe kwa ubovu wa kikosiPole mkuu. Ndiyo mchezo ulivyo.
Kazingua sana ,unai hajatufanyia fair kabisa leo
Ila timu yetu kutokuwa na winga ni tatizo kubwa sana kiasi kwamba watu wote ndani wanakuwa useless! I hope tupate winger 2 msimu ujao!










































































































Kweli mkuu. Kama sisi anavyotufanyia Mr. Mafegi yaani Basi tuUnajua bora mfungwe kwa ubovu wa kikosi
Sio kwa sababu za kipuuzi
Wachezaji Wanapambana , Baadhi wanaharibu mechi ,
Inaumiza sana
ichemsha au manu, hatucapitalize!Mpaka sasa uhakika ni Liverpool Manchester city na Tottenham hawa lazima waingie top 4 ila sisi mhhh kaka ni Mungu tusubiri aamue
Ndio raha ya kugombania nafasi na Arsenane, kwa kuwa bado mna Wolves naamini nafasi ya nne bado iko wazi sanaaaa. Nakumbuka ule mwaka mlikuwa mnagombania ubingwa na Leicester, hamuwezi kushindana mtafail tuUnajua bora mfungwe kwa ubovu wa kikosi
Sio kwa sababu za kipuuzi
Wachezaji Wanapambana , Baadhi wanaharibu mechi ,
Inaumiza sana







Mtapata tabu sanaaaaaaaaaaa*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*
Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.
Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.
Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
Hiki ni kituko, chambers mkopo, Mustafi ndani.Chambers anatolewa mkopo wanamwacha mtu ambaye hana msaada ndani ya muda wake wote pale Arsenal, hajiamini akikutana na watu wenye manjonjo km Zaha basi ye anachanganyikiwa utadhani dem kaona sharobaro
Nyie mna timu basi....hilo ni genge la watoto.Mechi ya leo tumefungwa hata kabla ya mechi kuanza timu yetu tunaijua
Wewe Leo kocha kazingua kupanga kikosi halafu tuna majeruhi ,Ndio raha ya kugombania nafasi na Arsenane, kwa kuwa bado mna Wolves naamini nafasi ya nne bado iko wazi sanaaaa. Nakumbuka ule mwaka mlikuwa mnagombania ubingwa na Leicester, hamuwezi kushindana mtafail tu![]()
Mtapata tabu nyie mnapigwa 4-0Mtapata tabu sanaaaaaaaaaaa
*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*
Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.
Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.
Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
Heshima gan wakat kocha kazingua na kuna michezaj imeuza mechWape heshima na waliokutandika ndugu