Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sio kwamba Everton alitupa shida ila ni majeruhi na kukosekana key players hasa eneo la midfield![]()
![]()
![]()
Everton anawapa shida hivi Napoli mtamuweza??
YNWA
Sio kwamba Everton alitupa shida ila ni majeruhi na kukosekana key players hasa eneo la midfield![]()
![]()
![]()
Everton anawapa shida hivi Napoli mtamuweza??
YNWA
Mkuu ukienda kushinda kwao mbele ya Ancelotti njoo nikufanyie muamala wa 50k.Tunaenda kushinda kwao
Our midfield zimerejea bado Xhakaboom tu
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wana mpira gan sasa wale wakuisumbua arsenal ambayo katikati inakuwa imekamilika?Mkuu ukienda kushinda kwao mbele ya Ancelotti njoo nikufanyie muamala wa 50k.
Nina uhakika kule hamshindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyo na mpira wa Emirates na wao wana mpira wa Napples.Wana mpira gan sasa wale wakuisumbua arsenal ambayo katikati inakuwa imekamilika?
Jana tu ilitakiwa wale 6-0
Yohana 3:16
Unatapatapa sasa, Napoli ni timu ya kawaida ,timu za Italy huwa hazichomoki kwa arsenal,
Watapigwa hadi watachakaa huko huko kwao
Mkuu ukienda kushinda kwao mbele ya Ancelotti njoo nikufanyie muamala wa 50k.
Nina uhakika kule hamshindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa aliwahi kukuahid akaingia mitinHii comment imenikumbusha ahadi yenu kwangu.
Ngoja nikaitafute ile post bosi, tufanye hata discount.
Maana point zenu hamtaifikia Liverpool.

Hahaaaaa aliwahi kukuahid akaingia mitin
Yohana 3:16
Ngoja tulinganishe kidogo.Arsenal at home in the Europa League knockout stages this season:
3 games
3 wins
8 goals scored
0 goals conceded
Too hot to handlehttps://t.co/GU67PPpljE
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mbona unawaza Sana Chelsea.Jirani zetu Chelsea wapoje ugenini?
Chelsea amecheza home mech 11?Ngoja tulinganishe kidogo.
Chelsea played 11 Europa league Games so far.
Win 10
Draw 1
Loose 0
Clean sheets. 8
Sent using Jamii Forums mobile app