Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,151
Huijui Chelsea wewe. Naomba tumalize mjadalaMbona waliingia kucheza, halafu asilimia 90 ni wanaocheza kila siku, Chelsea hainaga kikos cha pili, ndio maana hata hiyo michuano kabalelo hamumpi nafasi
Yohana 3:16
Sent using Jamii Forums mobile app