Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Everton itamwalika arsenal kwenye uwanja wa Goodison park siku ya junapili.
Arsenal inahitaji point 3 ili kujihakikishia nafasi ya 3 itakayompa nafasi ya kucheza UEFA champions league kwa msimu ujao
Habari nzuri kutoka kwa madaktari wa timu ni kuwa laurent koscieny Aaron Ramsey na xhaka huenda wakacheza mechi ya jumapili .
moto uliotumika kwa man u ,bournemouth na newcastle ndio huo huo utatumika kwa everton,
COYG
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

| This piece was from @charles_watts, explaining that