Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

He deserve
IMG-20190403-WA0040.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
KUTOKA (BY get_repost)

Kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari za michezo Unai Emery hana furaha na uwezo wa Denis Suarez na anataka kumsajili winger wa Bournemouth Ryan Fraser,ikiwa Arsenal itashindwa kukamilisha usajili wa Cristian Pavon, Emery's ndio chaguo lake la pili
IMG-20190402-WA0038.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
As I understand it Ryan Fraser is emerging as a serious option for Arsenal in the transfer window. He's young, quick, has Premier League experience and is somewhat affordable with only a year and a bit left on his contract.

He is also very, very good.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Naihofia Wolverhampton, nahofia mechi za ugenini ni nyingi, rekodi yetu away ni mbaya sana na tuna michezo mingi iliyobaki ya ugenini!!!
 
Naihofia Wolverhampton, nahofia mechi za ugenini ni nyingi, rekodi yetu away ni mbaya sana na tuna michezo mingi iliyobaki ya ugenini!!!
Mkuu usiwe na hofu ,cha muhimu nasisitiza tuombee key players hasa eneo la midfield wawe fiti

Akiwepo xhaka Ramsey toreira

Mbele mick auba laca ozil

Hawa wakiwa wazima ,hakuna game tutafungwa had ligi inaisha

Game na Everton ,xhaka na Ramsey wakiwa fit au mmoja wapo akiwa fit acheze na Matteo ushindi lazima

Baada ya hapo hao wolves nilivyowaona kuna aina ya mpira wanaucheza , hasa wa counter ,hivo kati tunahitaji solid midfield ,ningependa aanze toreira na xhaka au xhaka na Ramsey ,katika mfumo wa 3-4-3

Tutawagonga vzr tu,

Kwahiyo cha msingi tuombee wachezaji wetu muhimu wasipate injury ,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Mkuu usiwe na hofu ,cha muhimu nasisitiza tuombee key players hasa eneo la midfield wawe fiti

Akiwepo xhaka Ramsey toreira

Mbele mick auba laca ozil

Hawa wakiwa wazima ,hakuna game tutafungwa had ligi inaisha

Game na Everton ,xhaka na Ramsey wakiwa fit au mmoja wapo akiwa fit acheze na Matteo ushindi lazima

Baada ya hapo hao wolves nilivyowaona kuna aina ya mpira wanaucheza , hasa wa counter ,hivo kati tunahitaji solid midfield ,ningependa aanze toreira na xhaka au xhaka na Ramsey ,katika mfumo wa 3-4-3

Tutawagonga vzr tu,

Kwahiyo cha msingi tuombee wachezaji wetu muhimu wasipate injury ,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Rekodi yetu away ni mbaya mnoooo!!
 
Rekodi yetu away ni mbaya mnoooo!!
Nakubaliana na wewe , lakin msimu huu imeimarika kulinganisha na msimu uliopita

Na kwasasa mechi za away matumain nimeweka kwa Wachezaji muhimu,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Alexandre Lacazette has now scored 20 goals in 27 Premier League games at the Emirates Stadium.
IMG-20190404-WA0003.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Fraser on being linked with #Arsenal:

"I’m not going to lie, it's very nice. It means you are are doing something right. They are a huge club, a massive club. #afc
IMG-20190402-WA0038.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Rekodi yetu away ni mbaya mnoooo!!
Nakupinga kaka ,labda kama unamaanisha msimu uliopita ,ila kwa msimu huu ugenini tumeimarika

Mpaka sasa tumepoteza game za away 5 tu. Ambazo katika hizo ni man city, liver na Chelsea

Mbili ni dhid ya soton na westham

Ambapo hizo za big 6 huwa ni 50/50 unapoenda ugenini kupata point zote 3, maana hata wao ni man city pekee aliyechukua point 3 kwetu ,

Mechi ya soton na westham unakumbuka ni kipind ambacho tulikuwa na Janga la mabeki ,wengi walikuwa majeruhi ,ikalazimu game hizo Xhaka acheze kama fullback

Mpaka pale emery alipo switch mfumo wa 4-2-3-1 kwenda 3-4-2-1/3-4-3 ndipo beki line ikatulia na tukaanza kupata cleansheet mech muhimu,

Hivo iwapo hatutapata crisis katika beki line na midfield wakaumia wote , (xhaka na Ramsey ) Bas hakuna ugumu mech za away, nakuhakikishia hilo

Kwenye Europa game zote mbil za away tulipoteza kwa reason ya kupata red cards game zote mbili na kuharibu tactics za mwalimu.

Kwahiyo wanaosubir tutaharibu game za away inabid wasihishi kwa mazoea,

Iwapo first eleven itabaki hii hapa chini, au ikiwa midfield mmoja wapo hata akiwa injury kati ya xhaka au Ramsey , hakuna kitakachoharibika maana Toreira anarud game ya wolves

Kuhusu beki toka tuanze kutumia Mabel watatu imesaidia maana namba 2 asilia belle ni majeruhi, Lichsteiner hawez kupandisha timu,

Niles ni nzuri kuatttack hivo anafit zaid kwenye nafas ya. WINGBACK kwenye mfumo wa 3-4-3 au 3-4--1-2

arsenalfc.always-20190401-0002.jpeg
we.love.u.arsenal-20190401-0001.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kutokana na ratiba ya wenzetu hata tukifungwa mechi 2 bado tunauhakika wa kuingia top 4

Hili niliwahi kusema kipind cha nyuma kwa ratiba ilivyo acha wapige kelele lakin itafika kipind tutawaacha wenzetu hadi point 6

Kwasasa game ya Everton tukishinda, itahitaji mech 3 kushinda tufunge mahesabu,

Maana siku watakayokutana man u vs Chelsea ndio siku tutakapowaachia manyoya ,

FB_IMG_1554191667795.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Bernd Leno ameibuka mchezaji bora wa Arsenal mwezi wa 3. Na alikua na haya ya kusema:

"Kila mchezaji anataka kuungwa mkono na mashabiki. Wote tuna hitaji mashabiki, hata mimi, na ni vizuri kusikia mashabiki wananipenda na wanapenda uchezaji wangu pia. Nataka kucheza vizuri kila mechi vizuri lakini kikubwa zaidi nataka kuhakikisha mashabiki wana furaha pia. "
IMG-20190403-WA0040.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Goalkeepers with the most clean sheets in top 5 leagues.

Hapa naongea na yule anayekuja kwenye uzi wetu anamponda Kepa kwa kumlinganisha na Leno ukimwambia leta takwimu anakimbia. Sasa naomba mwisho uwe leo otherwise uje na facts siyo pampalila zako. Aroon ukae kimya usifananishe kepa na uchafu mwingine.View attachment 1061430

Sent using Jamii Forums mobile app
kipa mechi mbili anapigwa goli kumi...........................................aiseeeeeeeeh hapana nasema hivi HAPANA
 
Back
Top Bottom